Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Cosby, family matter, renegady, pointman, bold and beautiful, acupulco bay, perfect strangers, la mujer de mi vida, la mujer de lorenzo, cuando seas mia, todo sobre camilla, tausi, mambo hayo, maisha, la revencha, rebecca, storm en la paraiso,
We nawe,si uandike moja tu na tu maneno twa kujazia jazia?sasa wenzako wataandika nini?acha uchoyo.
 
ebhane kuna moja ilikuwa inaitwa NIKITA ilikuwa ITV miaka ya 2003 starring ni huyu mwanamuziki anaitwa SIA..
 
Cosby, family matter, renegady, pointman, bold and beautiful, acupulco bay, perfect strangers, la mujer de mi vida, la mujer de lorenzo, cuando seas mia, todo sobre camilla, tausi, mambo hayo, maisha, la revencha, rebecca, storm en la paraiso,
Ulikua unashughuli kweli?!
 
Hii ndiyo naikumbuka sana, I was too young. Tulizoea kuiita Husna na Hassan 1993 ilikuwa inaoneshwa TVZ, Dar tulikuwa tukiipata kwa kuhangaika sana na antenna. Tamthilia ya Mombasa. Walikuwa ni watoto wadogo wa umri wa wastani 13. Niliishia Husna kawa kidnapped maeneo ya pwani huku Hassan akiwa busy kumtafuta.
Husnaaaaaaaaaa.......hassanii dah kitamboo 1993-1994
 
La muja de mi vida bhana...nakumbuka kipindi hiko nilikuwa nasoma DAY shule flan kilimanjaro kijijin...sasa kulikuwa na redio kipindi hiko zina uwezo wa kushika hd TV...basi mm usiku nasikiliza tamthilia afu kesho yake naenda kuwaadithia wanafunzi waliokuwa wanaishi boarding km nimeona vile,kumbe nimesikiliza....!!!
 
Back
Top Bottom