Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Habari wanaBodi, anaejua link ambayo itaniwezesha kudownload tamthilia za kifilipino naomba anisaidie niweze kupakua hizo tamthilia.

Asante.
 
mini mwenyew huwa natafuta hii solution lakini nimekwama ...watu wamelewa na korea drama...wakati filipino ndo inashika rekodi ya dunia kwa sasa....

hivi unawezaje kukomaa na kore drama wakati tamthilia za kifilipino ndo kila kitu....

mimi ukinipa series ya kikorea nikifika nyumbani naiformat kabsa frashi...[emoji23][emoji23]
 
Tunatofautiana choices.
Mimi wafilipino hapana
 
Hello guys
Naombeni msaada jaman
Mimi napenda sana kuangalia series za kifilipino lakini inaniwia vigumu sana kuzipata mtandaoni na kuzipakua. Zingine nikizipata huwa zinakuwa hazijakamilika mpaka mwisho.

Naombeni msaada wa site ambazo naweza kupata tamthilia hizi za kifilipino.
 
Kuna jukwaa lake kule ambako wasio wanachama hawafiki

........
 
Kuna the promise na the long wait natamani nikiangalia now
 
Jaman Enzi izo za larevancha Kina Soledad na Alhandro
The promise TVT Kina innah, Angelo, babu yake maghaspa,
Kuna TIMELESS Hapana kabisa iliteka hii ilikuwa star tv
It might be you lol shallow na yule kaka mwenye macho mazuri Lawrence
Mexico my fav
Maria Clara ya Enzi za mwalimu ukooo ITV
Second chance Kina Pedro horsey issabella
Hii ya juzi Kina alduro
Nyingi mno izo my favorite baathi
 
Ahhh ile ya kina Salvador Sorenza& Isabella AAroyo Del cuerpo del deseo ilikuwa ni shida wakongwe wenzangu kama wapo kitu cha Lamujer de mivida mnakikumbuka vzr....longggg time
 
Wakuu naomba kujua ni site gani nzuri naweza kudownload tamthiria za kifilipino
 
yote tisa kwa kweli la mujer de mi vida,the promise zikirudiwa siwezi miss
LA mujer imeisha mwakajana ilikua inarudiwa romanza TV , station inapatikana kama una kingamuz cha Azam, The promise pia IPO sema ndio inaishia
 
Back
Top Bottom