jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
pasions ya akina charity na miguel
Miguel, charity, kay
Ethan, gwen theresa
Chad, whitney, semone
Mr julian crane, dr russel, ivy, mrs hotchkis mama yake gwen
Sheridan,
Tabitha, timmy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pasions ya akina charity na miguel
Wakina Meg, tim, ben acha kabisa, part ninayoipendaga ni ile wapo kwenye boti wameenda kwenye kile kisiwa cha mauaji, namkumbuka yule masked ben aisee ilikuwa bombaSunset beach....
Tamu balaa... kina Juan bogo... nimezirudia rudia piaJumong! hii ni mwisho wa yote. hata ikirudiwa mara 200 siwezi kuacha kuangalia. baada ya hiyo kuna ingine inaitwa The lands of winds! hizi zote ni Korean legendary drama. hizi drama ni balaa, kwa asiyewahi kuziona azione ni nzuri mno!!!!!!
Nyimbo zao zilikua tamu sana....La tromenta na La tromenta el paraiso
The Promise (Pangako Sayo) imeisha jana Ijumaa 23rd March 2018,LA mujer imeisha mwakajana ilikua inarudiwa romanza TV , station inapatikana kama una kingamuz cha Azam, The promise pia IPO sema ndio inaishia
Lalola agentinaMbona hamuitaji LALOLA bonge la tamthilia..nadhan walikua wafaransa wale,,kina FAKUNDO,GASTON,LOLA,LALO hahahaha
Oooh...ilikua na ucomedy wakijinga sanaLalola agentina
NapitaLa revanja..kina soledad alejandro...mambo yalikua moto..alafu inaonekana wamexico wana tabia ya kufanya wake zao wendawazimu pale tu mwanamke anapokua na mali..maana nimeona tamthilia kama sita za namna hyo
Mrembo hii La Revancha inarudiwa TV Station ipi na muda gani?The Promise (Pangako Sayo) imeisha jana Ijumaa 23rd March 2018,
Romanza Channel # 251 ya Azam,
Kwa sasa naona wanarudia La Revancha (The Revenge) ya kina Rodriguez Asinega, Dkt Alejandro, Renato, Guiyamo, Soledad Santander, Isabela Ruiz, Oscar Livero, etc