Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Hahahah nyie mlochakachua kutaja za kiswahili na la mujer de mi vida,mnanvunja mbavu uwii..mmeambiwa za kifilipino jmn
 
the promise
my 3 sisters
la livancha/livenge
secreto d amore
women of steel
la muje de mivida
second chance
telemundo
rebeca
rubby
haa kumbe za kifilipino tu, haya chambua hapohapo
 
Ila ile ya LAST KING OF SCOTLAND wafilipino walitisha sana nasikia imeanza tena azam tv....!
 
Ahaaaa acheni utumwa !!!vipende vya nyumbani !! Vp mmeiangalia siri ya mtungi duuh nimeikubali .wamejitaidi sana .endelezeni hiyo Tamthilia iwe kama za kifillipino
 
Chonde chonde wakuu !kwa yeyote anaejua Ghala la tamthilia ,na uwezekano wa kuirudia tafadhali fikisha ujumbe kwamba hakunaga tamthilia kama" the long waait" tunaisubiri sana kitaa
 
Kuna kitu cha lobo aka shewolf
kay tagal kang hinintay, maging sino ka man, pangako sayo, sanay wala nang wakas,
let me stop now maana kuna long list.
 
Mimi nakumbuka "it might be you" ilinifurahisha sana akiwepo jamaa mwigizaji maarufu kwa jina la Yuri na katrina noma sana sijui walipotelea wapi hawa siku hizi .Endelea.....

Niliipenda hayo, na kina Red butterfly.
 
The long wait ilikuwa kali red butterlfy,the promise the the fish port princess namkumbuka maning'ing'i na mayuri
 
nakumbuka tamthiliya ya stolen moments(hiram) ilikuwa ikionyeshwa tbc 1 naombeni niiangalie
:smile-big:
 
Kwa mie nakumbuka yombayomba au haifit hapa
 
My Best Collection, naona mkali umeamua kuupandisha mzuka wangu wa zamani kipindi hicho daaaah usipime, hizi tamthilia nilikuwa sizimiss even a single day;
1. PASSION
2. LA MUJER DA MIVIDA

Don't touch dat diary, hata zirudiwe mara ngapi huzichoki...!
 
Back
Top Bottom