wao ni wao
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 1,179
- 2,807
Share kidogo tujifunze sote ni walimuUtukumbushe pia kujiwekeza pembeni sio kitu rahisi pia cha chukua mkopo wekeza anza kupata faida .
Kuna kupanda na kushuka japo haiishii hapo waweza poteza na mkopo wote .
Ila all in all is better die trying .
Napita hivyo ila ninayo mengi sana .
Wekezeni ila siasa msizikimbilie mtakufa kama hamna moyo
Na akitupigania tule nanyiMungu aendelee kuwapigania
Hakika 🤣Na akitupigania tule nanyi
😁😁😁 Hebu tuzidishe mapambano warembo wanataka tutoboeHakika 🤣
Tuwape tuwape Yaan tuwape tena na tena😁😁😁 Hebu tuzidishe mapambano warembo wanataka tutoboe
Ebwana eeeh raha ndo hizo sasaTuwape tuwape Yaan tuwape tena na tena
KabisaEbwana eeeh raha ndo hizo sasa
Watumishi wote awategemei mishahara kasolo walimu mageleza jwt tuNimefungua huu uzi kwa ajili ya kuwakutanisha watumishi wote wenye idea ya ujasiriamali, wanaofanya biashara,kilimo,ufugaji na wanaotarajia kufanya biashara, kilimo na ufugaji n.k
Fafanua kdgwatumishi wote awategemei mishahara kasolo walimu mageleza jwt tu
Nzuri sana hii, but Mimi nilioa baada tu ya kuajiriwa sijutii uamuzi huoMimi binafsi sio mtumishi serikalini ila ntachangia machache ninayoweza wakuu
Kwanza, ukiajitiwa iwe serikalini au sekta binafsi usikimbile kuoa au kuolewa, au kuzaa mtoto au watoto. Wekeza kwanza
Kwaniniwatumishi wote awategemei mishahara kasolo walimu mageleza jwt tu
Uko vizuri Sana.Mimi binafsi sio mtumishi serikalini ila ntachangia machache ninayoweza wakuu
Kwanza, ukiajitiwa iwe serikalini au sekta binafsi usikimbile kuoa au kuolewa, au kuzaa mtoto au watoto. Wekeza kwanza kwenye uchumi angalau miaka 5 nipo uanze hayo mengine.
Pili, ukiajiriwa popote ple usibadili mfumo wako wa maisha kwa zaidi ya 40%,ni kweli ulikwa umechakaa sasa unatakiwa upendeze kiasi na ule vizuri ila sasa unapoanza kutoka usiku kwenda club au bar kisa una uhakika wa mshahara ndipo unapoanza kuharibu uchumi wako.
Tatu, unapoajiriwa popote pale jitahidi sana kuona fursa za kiuchumi nje ya ajira zichambue kisha kusanya mtaji wako baada ya miaka miwili anza kuifanya fursa moja wapo.
Nne, kamwe sinunue gari la mkopo hata kama utashawishiwa vipi hapo kazini kwenu. Ukiona unanunua kwa mkopo jua huwezi kulimliki hilo gari fuata kanuni ya nunua kitu unachoweza kukinunua mara mbili.
Mwisho kabisa, uisubiri ukastaafu ndipo ukaanza biashara yoyote, hautaiweza. Kama umeshastaafu au unaelekea kustaafu na una vijana wakubwa fanya utaratibu wa kufungua biashara ya familia wewe usimamie fedha wao waifanye hiyo biashara na muheshimianekama wafanyabiashara sio baba/mama na wanawe maana mtafeli.
Vikubwa vya kuepuka ni;
1. Starehe
2. Kuiga maisha ya watu
3. Uwizi kazini
4. Kuridhika na mshahara
Shukrani MkuuUko vizuri Sana.