Mawazo yangu tuu lakini , ukiachana na biashara tafuta sehemu nyingine ya kupiga kazi hata kama unaingia usiku unatoka asubui na asubui unafanya biashara zako ili mradi kipato chako kimeongezeka
Hapa lengo ni kuongeza kipato sio uache kabisa biashara hapana , weka target unahitaji shilingi ngapi na kwa miezi mingapi basi ukishapata hiyo hesabu weka malengo ya kufanya kazi na kufanya bishara kwa muda gani iliupate pesa kidogo ya kupaua uweze kuhamia ,
lakini pia nimeona unasema una familia kaa chini na wife mpe plan hata mbabidili msosi mnakula mara moja kwa siku labda ndani ya miezi mitatu na vitu vya nyumbani vyenye gharama kuvipunguza kwa muda mchache itakusaidia kupata pesa kidogo ya ku save lakini wife pia akipata sehemu ya kujishikiza ili wew gharama nyingine upeleke kwenye ujenzi,
ukifanya hivi kwa kila phase ya ujenzi unayotaka kufanya naamini utatoboa
weka lengo kidogo laba kupaua chumba kimoja fanya hivyo
weka lengo labda umeme
mdogo mdogo tuu ndo mwendo sio dhambi kujenga nyumba kwa miaka 10 and bytheway speed kills hehehe