Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
- Thread starter
- #161
Mtoboa siriHaya njaanuari tuanze kwa kila mwezi kila mtu anachangia laki 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoboa siriHaya njaanuari tuanze kwa kila mwezi kila mtu anachangia laki 2
Mwenyezi akufanyie wepesi.Wakuu nimetembelea pagala langu leo nipo hapa toka saa 12 asubui naangalia tu
Ahsante kwa ushauri mkuu japo kwangu kushare stage inafanya nipate matumaini kwa walionitangulia na kutoa baadhi ya stressMwenyezi akufanyie wepesi.
Nilichogundua ukiwa kwenye mradi mkubwa kama ujenzi, Jitahidi kuto share habari zako za ujenzi. Maendeleo ni sumu kwa wengi. Piga kimya kimya. Ukaribishe ndugu na majirani ukishaingia nyumba.
Unaweza kununua mabati bundle moja moja ukahifadhi. Mbao unaenda dukani unalipia unaziacha dukani. Ukikamilisha mbao na mabati unatafuta hela ya fundi tu vitu vidogo kama misumari kofia za bati sio issue sana.Kupaua= Mbao+Mabati+Misumari+Fundi
Na kumbuka huwezi kupaua nusunusu ni lazima upaue nyumba nzima. Ni mojawapo ya hatua ngumu kwenye ujenzi maana inataka pesa ya pamoja.
Yote hayo nayajua mkuu ila hoja yangu ni kwamba hiyo ni hatua ngumu zaidi ya ujenzi maana ina gharama kubwa.Unaweza kununua mabati bundle moja moja ukahifadhi. Mbao unaenda dukani unalipia unaziacha dukani. Ukikamilisha mbao na mabati unatafuta hela ya fundi tu vitu vidogo kama misumari kofia za bati sio issue sana.
Mimi mahesabu yananambia 12Mkupaua kipengele mkuu. mbao plus mabati, plus ela ya mafundi. mimi ilinichomoka kama milioni nane hivi. nyumba ina sqm 138
Hapana mkuuNawewe una gofu mkuu!
Safisha eneo unaweza fanya mwenyewe kama sehemu ya mazoezi mdgo mdgo siku za weekendMajiran wanasema nafuga nyoka ni hatari kiongozi
Hata kama jikague. Fuatilia historia ya kwenu au kwao unaweza pata chanzo chq tatizo.Katika dunia ya leo tumesahau kufuatilia jamii ya mwenzangu anakotoka wakiwemo wazazi wake tunaishia kuangalia makalio na mali alizonazo mtu, tunaishia kupigwa na kitu kizitoNina mke na watoto wawili tunaishi chumba kimoja cha kupanga uswazini uku
Hii ndio hatua ngumu pekee kwenye ujenzi maa a hela nyingi kwa mkupuo na hainaga kusubiri. Kwengine kote unaenjoy tuu kulingana na uwezl wako na availability ya fundi maikoKupaua= Mbao+Mabati+Misumari+Fundi
Na kumbuka huwezi kupaua nusunusu ni lazima upaue nyumba nzima. Ni mojawapo ya hatua ngumu kwenye ujenzi maana inataka pesa ya pamoja.
Hii hatua haina tofauti na ukijipendekeza kuweka tiles sasa hivi,lazima ukonde,yani kila nikidunduliza kwenye duka naambiwa kesho bei imepanda...Hii ndio hatua ngumu pekee kwenye ujenzi maa a hela nyingi kwa mkupuo na hainaga kusubiri. Kwengine kote unaenjoy tuu kulingana na uwezl wako na availability ya fundi maiko
Na tena tiles usibugi maana toleo likipita ndio ntoleee hiyo. So bora ununue kwa mara mojaHii hatua haina tofauti na ukijipendekeza kuweka tiles sasa hivi,lazima ukonde,yani kila nikidunduliza kwenye duka naambiwa kesho bei imepanda...