Inawezekana waumini wengi wapo Rungwe kama unavyosema lakini Tukuyu ipo pembeni sana kiasi kwamba mtu wa kutoka Tunduma au Rujewa Mbarali akitaka huduma ina mgharimu pakubwa tofauti na Mbeya ambapo anweza akaenda na kurudi the same day na cost zikapungua.Waumini wengi wako Rungwe/Tukuyu. Hana sababu za msingi kuhamisha makao makuu ya Dayosisi kwenda Mbeya eti awe karibu na Makao makuu ya mkoa. Mpuuzi mkubwa huyu. Kibaya zaidi kajiamulia yeye binafsi bila kuwashirikisha Wachungaji na Washarika.
Gwendeghe panandi panandi nkamu Sibonike. Ujho mputiWaumini wengi wako Rungwe/Tukuyu. Hana sababu za msingi kuhamisha makao makuu ya Dayosisi kwenda Mbeya eti awe karibu na Makao makuu ya mkoa. Mpuuzi mkubwa huyu. Kibaya zaidi kajiamulia yeye binafsi bila kuwashirikisha Wachungaji na Washarika.
Ujhobile momumo kikolo, ujho mputi. Nalinga pope!! Hata kama amekosea bado ni mpakwa mafuta. Mungu awape hekima.Gwendeghe panandi panandi nkamu Sibonike. Ujho mputi
Mkuu unaonekana kutetea askofu muovuInawezekana waumini wengi wapo Rungwe kama unavyosema lakini Tukuyu ipo pembeni sana kiasi kwamba mtu wa kutoka Tunduma au Rujewa Mbarali akitaka huduma ina mgharimu pakubwa tofauti na Mbeya ambapo anweza akaenda na kurudi the same day na cost zikapungua. Tatizo sisi wanyakyusa ubinafsi unatusumbua sana. Kwani kuna tatizo gani Dayosisi kuhamishwa sehemu nyingine? Mbona Magufuli alihamisha ofisi za serikali Dar kwenda Dodoma?
yaani Kanisa lifuate makao makuu ya serikali? Analigeuza kanisa kuwa idara ya serikali??Waumini wengi wako Rungwe/Tukuyu. Hana sababu za msingi kuhamisha makao makuu ya Dayosisi kwenda Mbeya eti awe karibu na Makao makuu ya mkoa. Mpuuzi mkubwa huyu. Kibaya zaidi kajiamulia yeye binafsi bila kuwashirikisha Wachungaji na Washarika.