Tukuyu: Waumini KKKT wamfukuza Baba Askofu Dkt. Edward Mwaikali

Tukuyu: Waumini KKKT wamfukuza Baba Askofu Dkt. Edward Mwaikali

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Waumini wa kanisa la KKKT Usharika wa Tukuyu Mjini ulioko Dayosisi ya Konde wamemfukuza kanisani hapo Baba Askofu wa Dayosisi hiyo Dkt. Edward Mwaikali.

Waumini hao wamedai kuwa Askofu huyo hawasikilizi na amekuwa akiwafukuza kazi wachungaji wasiomuunga mkono katika maamuzi yake.

waumini.jpg

Pia soma: Mbeya: Wachungaji 25 wa KKKT Wafutiwa ajira ya Uchungaji Dayosisi ya Konde
 
Waumini wengi wako Rungwe/Tukuyu. Hana sababu za msingi kuhamisha makao makuu ya Dayosisi kwenda Mbeya eti awe karibu na Makao makuu ya mkoa. Mpuuzi mkubwa huyu. Kibaya zaidi kajiamulia yeye binafsi bila kuwashirikisha Wachungaji na Washarika.
Inawezekana waumini wengi wapo Rungwe kama unavyosema lakini Tukuyu ipo pembeni sana kiasi kwamba mtu wa kutoka Tunduma au Rujewa Mbarali akitaka huduma ina mgharimu pakubwa tofauti na Mbeya ambapo anweza akaenda na kurudi the same day na cost zikapungua.

Tatizo sisi wanyakyusa ubinafsi unatusumbua sana. Kwani kuna tatizo gani Dayosisi kuhamishwa sehemu nyingine? Mbona Magufuli alihamisha ofisi za serikali Dar kwenda Dodoma?
 
Waumini wengi wako Rungwe/Tukuyu. Hana sababu za msingi kuhamisha makao makuu ya Dayosisi kwenda Mbeya eti awe karibu na Makao makuu ya mkoa. Mpuuzi mkubwa huyu. Kibaya zaidi kajiamulia yeye binafsi bila kuwashirikisha Wachungaji na Washarika.
Gwendeghe panandi panandi nkamu Sibonike. Ujho mputi
 
Inawezekana waumini wengi wapo Rungwe kama unavyosema lakini Tukuyu ipo pembeni sana kiasi kwamba mtu wa kutoka Tunduma au Rujewa Mbarali akitaka huduma ina mgharimu pakubwa tofauti na Mbeya ambapo anweza akaenda na kurudi the same day na cost zikapungua. Tatizo sisi wanyakyusa ubinafsi unatusumbua sana. Kwani kuna tatizo gani Dayosisi kuhamishwa sehemu nyingine? Mbona Magufuli alihamisha ofisi za serikali Dar kwenda Dodoma?
Mkuu unaonekana kutetea askofu muovu
 
Waumini wengi wako Rungwe/Tukuyu. Hana sababu za msingi kuhamisha makao makuu ya Dayosisi kwenda Mbeya eti awe karibu na Makao makuu ya mkoa. Mpuuzi mkubwa huyu. Kibaya zaidi kajiamulia yeye binafsi bila kuwashirikisha Wachungaji na Washarika.
yaani Kanisa lifuate makao makuu ya serikali? Analigeuza kanisa kuwa idara ya serikali??
 
Back
Top Bottom