Tukuyu: Waumini KKKT wamfukuza Baba Askofu Dkt. Edward Mwaikali

Kama tatizo ni umbari si zigawanywi dayosisi mkuu!
 
Una hoja ikiwa hayo maeneo uliyoyataja yanategemea huduma pale
 

Labda huelewi


Mbeya yenyewe wanataka dayosisi Yao sio kuihamisha dayosisi! Kama vile hii dayosis ilivyoombwa toka Iringa! Yaan wanakonde waliomba dayosis Yao kwani wamekuwa na wanataka wajitegemee! Hivyo hivyo mbeya wanataka dayosis Yao wajitegemee! Si kuhamisha dayosisi

Halafu unaposema dayosis ya konde! Neno konde ni eneo linalojumuisha, tukuyu, busokelo na kyela! Sasa ukileta mbeya mjini huko si konde
 
Tatizo la waumini wa KKKT hawaheshimu wapakwa mafuta wa Bwana. Waliohusika wote waombe toba vinginevyo mbingu wataisikia tu.
 
Tatizo la waumini wa KKKT hawaheshimu wapakwa mafuta wa Bwana. Waliohusika wote waombe toba vinginevyo mbingu wataisikia tu.
Mafuta. 2. Bwana. 3. Mbingu,itakuwa ni misamiati inayoweza kufafanuliwa na watu maalum. Haya tupeni huo ufafanuzi
 
Wamemfukuza kazi kabisa ama wamemfukuza tu mahali walipokua wamekaa? Maana kufukuza kazi siyo rahisi hivyo.
 
Mbeya ipo chini ya dayosisi ya konde Mimi nasali kkkt usharika mmoja wapo hapo mbeya mjini na upo chini ya dayosisi ya konde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…