Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Watanzania tungekuwa na msimamo kama huu na kwenye uongozi wa nchi tungeendelea kwa kasi ya ajabu!Waumini wa kanisa la KKKT Usharika wa Tukuyu Mjini ulioko Dayosisi ya Konde wamemfukuza kanisani hapo Baba Askofu wa Dayosisi hiyo Dkt. Edward Mwaikali.
Waumini hao wamedai kuwa Askofu huyo hawasikilizi na amekuwa akiwafukuza kazi wachungaji wasiomuunga mkono katika maamuzi yake.
Pia soma: Mbeya: Wachungaji 25 wa KKKT Wafutiwa ajira ya Uchungaji Dayosisi ya Konde
Hivi ni huduma gani muumini anaenda kuifuata huko makao makuu ya dayosis ,sijui jimboInawezekana waumini wengi wapo Rungwe kama unavyosema lakini Tukuyu ipo pembeni sana kiasi kwamba mtu wa kutoka Tunduma au Rujewa Mbarali
akitaka huduma ina mgharimu pakubwa tofauti na Mbeya ambapo anweza akaenda na kurudi the same day na cost zikapungua.
Tatizo sisi wanyakyusa ubinafsi unatusumbua sana. Kwani kuna tatizo gani Dayosisi kuhamishwa sehemu nyingine? Mbona Magufuli alihamisha ofisi za serikali Dar kwenda Dodoma?
Watu hawataki masiharaMaji hufuata mkondo.KKKT kiasili ni kanisa la ki harakati toka enzi za Martin Ruther King.
Sasa ulivyokua mdogo ulitaka uaminishwe Nini zaidi ya ulichoamini!?Imani yangu juu ya haya makanisa kuhusu, mienendo na misimamo ya viongozi nakata Tamaa.
Tofauti na nilivyoaminishwa nikiwa mdogo
Bado CCM siku yao inakuja nao
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Hakuwa Martin Luther King alikuwa Martin Luther,huyu mwenye king amekuja baadaeMaji hufuata mkondo.KKKT kiasili ni kanisa la ki harakati toka enzi za Martin Ruther King.
Mkuu si ujifunze kuandika kwanza?Kama tatizo ni umbari si zigawanywi dayosisi mkuu!
Na Bagonza je huko Ngara?Baadhi ya Maaskofu wa KKKT wanaotokea Mbeya ni controversial, Huyo, Mwaipopo wa Sumbawanga, Wa Mashariki na Pwani naona sasa upepo umetulia.
We kenge kweli wakina waitara si waliiponda ccm hadi wakawa wabunge wa ukonga kupitia cdm leo hii si wabunge wa ccm,
Yote ni tafsiri sahihi ya kiswahili. Kristu limetafsiriwa kutoka kilatini, Kristo limetafsiriwa kutoka kigiriki. Hiyo imepelekea yote mawili kutumika kwa pamoja.Milele Amina
Tumsifu Yesu Kristu.
Kuna tofauti gani Kati ya Kristo na Kristu?
sasa chadema na uchagga umekujaje mkuu....tusibaguae kwa namna yoyote Tanzania ni yetu sote.....TUIJENGE......unamtetea huyo mpumbavu anataka kubadilisha ktb ili aendelee....punguani wewe...kwani hakuna mwingine anaefaa......???tamaa ya mali na ukahaba vinamsonga.....ajipange vema...Malasusa ana shida gani?
Hakuna askofu mzuri kama Malasusa, labda wewe kama unamuangalia kwa jicho uchadema na uchaga!
Kuna kale kaaskofu kule Karagwe kale kafupi kama nyundo kale ni kadikteta kwenye ile dayosisi hakuna mwenye sauti.
Kristu ni wakatoliki na kristo ni waporestantiYote ni tafsiri sahihi ya kiswahili. Kristu limetafsiriwa kutoka kilatini, Kristo limetafsiriwa kutoka kigiriki. Hiyo imepelekea yote mawili kutumika kwa pamoja.
Nashangaa sana mtu anaye waamini hawa watu..kama wokovu ni bure kwa yeyote anaye amini tunawapa vipi credit hawa viumbe wenzetu..kama maandiko kila mtu anaweza sima na kujifunza..waafrika tuache utumwa wa kifikra...wakuheshimiwa ni wazazi tu hata maandiko yamewataja wazi.Imani yangu juu ya haya makanisa kuhusu, mienendo na misimamo ya viongozi nakata Tamaa.
Tofauti na nilivyoaminishwa nikiwa mdogo
Makanisa na misikiti yametengeneza misukule ambao hawezi kuhoji..nikama kondoo waendavyo machinjioni..Huwezi kuta upuuzi kama huu ndani ya kanisa la mitume CATHOLIC
Mkuu hibyo ni sawa kabisa.Huyo Askofu wanachomlalamikia Ni kutofuata Taratibu za kuhamalisha makao makuu
Waumini wanatakiwa kuridhia
Waumini wakigoma anafukuza wachungaji anasema ndio wanachochea waumini !!! So kweli haiwezekani wakawa wachungaji 25 makanisa tofauti wote lao moja angekuwa mmoja au wawili hapo sawa lakini 25 dayosisi moja sio kweli huyo Askofu ana shida.Mimi.ningeweza kuwa convinced Kama Ni wawili au watatu lakini 25 !!!! Tena makanisa mbalimbali yeye ndie mkorofi anayegombana na kila Mchungaji
Anyway KKKT makao makuu chukueni hatua pelekeni Askofu mwingine wa Mpito haraka Mtafuteni popote .Hilo tatizo lilishawahi tokea sehemu nyingi tu ikiwemo Dayosisi ya KKKT ya mashariki na Pwani wakati huo ikiongozea na Askofu Mhuni na fisadi Jerry Mngwamba aliyekuwa Mchungaji pale Azania Front.KKKT ili respond haraka bila kusubiri Serikali iingilie Kati wakamuweka pembeni akashika Askofu wa Muda toka nje ya Dayosisi Palipotulia wakaitisha uchaguzi ndio Akapatikana Askofu Malasusa
KKKT ni Kanisa lenye hadhi muwekeni pembeni huyo mhuni ,kibaka na fisadi wekeni pembeni pelekeni Askofu wa Muda toka Dayosisi zingine asimamie Hadi kutulie.Arudishe wachungaji wote waliofukuzwa na apewe muda halafu aitishe uchaguzi akishaona Hali tulivu Kama ilivyofanyika Dayosisi ya Mashariki na Pwani ambamo Dar es salaam imo
Hilo fungu lao la madhahabuni linaenda na upako.Sinaga ugomvi na hao wa Madhabahuni fungu lao liko huko Mbinguni