Tukuyu: Waumini KKKT wamfukuza Baba Askofu Dkt. Edward Mwaikali

Swali fikirishi,Je ni kwanini Maaskofu,Watawa na makasisi wa Kanisa Katoliki wanaheshimika sana na kuaminika kwa jamii pamoja na waumini wao kuliko madhehebu mengine?

JIBU; Mbali na sababu nyingine kama vile viwango vya elimu,Nimegundua kwamba kitendo cha Watawa wakatoliki kula nadhiri za useja na kujitoa kufunga ndoa na kanisa zimewafanya waumini wao kuwaheshimu sana.Jaribu kufikiria kiongozi ni Askofu alafu ana mke na watoto,Je kwa akili za haraka haraka mtu huyu kweli ataweza kulitumikia kanisa na kulisha kondoo za Bwana? Ni vigumu kutumikia mabwana wawili! Patia picha huyo askofu ametoka nyumbani amekorofishana na mke wake na mtoto wake wa kiume anatumia madawa ya kulevya na binti yake amefumaniwa gesti na mume wa mtu! Huyu kweli atakuwa sawa?! Sikatai huenda wapo mapadre wanaenda kinyume na nadhiri zao lakini angalau anafanya hivyo akijua anakosea na haiwi kwa uhuru na wingi kiasi cha kuathiri kanisa kiujumla!

Hata wewe ukiona mtu amejitoa maisha yake kutokuoa/kutokuolewa kwa ajili ya Kristu lazima utampatia heshima kuliko yule aliyeoa/kuolewa huku anahudumia kanisa!
 
Kwa niniumshambulie askofu eti kwa kutofuata taratibu, na kwamba ni mhuni, kibaka na fisadi? Kwa ushahidi upi?

Mbona kanisa limeshatoa statement kwamba utaratibu mzima wa hatua zote kwa mujibu wa katiba yao ulifuatwa! Na wamesema wazi vikao vya maamuzi vilishirikisha na hao wachungaji!

Kwani wachungaji walkways 25 hawawezi kukosea? Au waumini wanaosali makanisa yao hawawezi kukosea?

Hiyo ni taasisi ina katiba, vyombo vya maamuzi na “hierachy“.

Ninachokiona hapo ni ukabila au ubinafsi wa hao jamaa wa eneo la Tukuyu. Tena wametanguliza ubinadamu badala ya utashi wa Mungu na kuheshimu mamlaka yake halali.
 
Napenda katiba ya kanisa la KKKT yaani waumini wana nguvu kuliko askofu, ila nenda kwa RC, Wasabato na makanisa ya New Age ndo utajua kwa nini Yesu alisema "acheni ngano na magugu vikue pamoja..." 😷!.
 
Mungu hashushwi na kitu wala mtu yeyote. Tabia mbaya za kibinadamu kamwe haziwezi kumshusha Mungu.yeye ni Mungu na atabaki kuwa Mungu
 

Mkuu unaelewa maana ya ku „ belong“. Hata maji ya ubatizo yanachotwa. Either you in or out. Baridi au Moto. Hakuna Mchungaji atakayemnyima muumini huduma kwa sababu ya hela kama kweli huyo mtaka huduma kwa maneno, matendo na maisha yake hawezi kulipia mchango wa jumuiya. Ni taratibu za kawaida ya maisha mana kanisa Ni visible sign. Na linaishi duniani.
 
Ukiongea uongo unapata faida gani? Ni parokia gani kama utoi michango ubatizi?!au ufungi ndoa?! Shetani ni baba wa uongo na wewe ni mwanae!!
Kanisa ni moja tu Takatifu Katoliki la mitume, kubaka kwa padre au muumini yeyote ni msalaba wake wala si wa waumini wote!!

Kanisa limejengwa juu ya mwamba na milango ya kuzimu haitalitikisa,vita ni vikubwa miaka yote, kanisa halijawahi kujibu wala kulumbana kazi ni moja tu!! kuhubiri habari njema za Mungu kubatiza na kuwapa wanadamu maarifa waweze kumtumikia Mungu na kufurahia kazi ya mungu hapa duniani. Kusaidia wahitaji kama wagonjwa,yatima,wajane,wasio jiweza na wengine wote wanaoitaji msaada wa kiroho na kimwili katika kuvaa,kunywa na kula.Tumsifu Yesu Kristu.
 
Kristu ni wakatoliki na kristo ni waporestanti
Sio kweli! Mimi ni mkatoliki, tunatumia yote. Waprotestant labda ndio hawana Kristu sababu imetokana na kilatini.
 
Wewe unaabudu kanisa badala ya Mungu
 
Alikuwa sahihi. Makao Makuu yataakaje uswekeni.
Kweli nimeamini kutenganisha kanisa na serikali ni ngumu duh asikofu anataka kuhamia makao makuu, hahahaaaaaaaaaaaa hawa jamaa bana tangu wagonge ile chanjo ya bure naona sasa misalaba imewaelemea shingoni wanaanza kuwa mazombi sasa
 
Na Bagonza je huko Ngara?
Kilaini mpaka alihamishwa Dar kwenda Bukoba?
Mdegela wa Iringa?
Acha hao walio katika mainstream churches!
Tuingie Mzee wa upako, Kakobe, GeorDavie?
Hao unaseaje?
Kwani Bagonza ni wa Ngara au Karagwe?
 
Ni kweli ipo pembeni,lakini kumbuka kuwa sinodi ilianzia Manow.Ni muhimu historia iheshimiwe na kutunzwa.Cha misingi huduma isogezwe kwa kuigawa dayosisi.Mchakato ufanyike,waumini washirikishwe ipatikane dayosisi nyingine.
 
Ni kweli ipo pembeni,lakini kumbuka kuwa sinodi ilianzia Manow.Ni muhimu historia iheshimiwe na kutunzwa.Cha misingi huduma isogezwe kwa kuigawa dayosisi.Mchakato ufanyike,waumini washirikishwe ipatikane dayosisi nyingine.
 
Afu hao jamaa ni mabeberu hasaa ,wanawanyanyasa viongozi wadogo ila kuanzia padre unakula Bata na maisha.

Ila sijui waumini huwa ni kama manyumbu huku viongozi wa juu wanatumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…