Tule chapati na kitimoto roast

Tule chapati na kitimoto roast

Hello

Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa

Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo

Nikaanza na chapati

View attachment 3203781
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto

View attachment 3203782
Baada ya hapo nika andaa now nakula karibuni
View attachment 3203783
Ulivyozungusha hayo matonge na hicho kisukumio pembeni nimepata wasi wasi.

Utaoa kweli bro.
 
Hello

Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa

Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo

Nikaanza na chapati

View attachment 3203781
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto

View attachment 3203782
Baada ya hapo nika andaa now nakula karibuni
View attachment 3203783

"kitimoto lost"! Kimepotelea wapi? Sasa tutakulaje kama kimepotea!​

Back
Top Bottom