B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
Nawangojea bado hawaja fika πNgoja Hamas waje π.
Duh pole umeacha au sioHahahah! Situmii kilevi kabisa japo ninapoishi baridi inapiga hadi kwa mifupa na asilimia kubwa watu hupenda pombe kali na sigara kwa ajili ya kuupatia mwili joto.
Chapati pekee ninazo weza mimi kama Bachelor ni za kumimina tuuKwanini mkuu ππ
Nimejitahidi kwa nafasi yanguRaha ya chapati ichambuke
Hahah nyama yenyewe ina mafuta ya kutoshaAYo mapishi hayajakamilika. Kuna kitu kimekosekana.
UNgetumia mafuta ya Mangi wa Yombo dovya
Duh ila asante sana broKumbe wewe ni wa kiume, Huwa naona komenti zako kama za akina dada!
Hongera kwa chapati kakaπ
Jaribu na kusukuma piaChapati pekee ninazo weza mimi kama Bachelor ni za kumimina tuu
Asante sanaDah umetisha sana mkuu.
ila kijana ulipata wapi muda wa kukanda chapati ujue nimefikiria sana kwako muda unamwagika kiasi gani hadi unakanda chapati nduguHapana tinza kibunda
Ulivyozungusha hayo matonge na hicho kisukumio pembeni nimepata wasi wasi.Hello
Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa
Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo
Nikaanza na chapati
View attachment 3203781
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto
View attachment 3203782
Baada ya hapo nika andaa now nakula karibuni
View attachment 3203783
Kuna jamaa nimekaa nae hapa anasema mbona kama chapati za mafalisayoHahah nyama yenyewe ina mafuta ya kutosha
Nitatengeneza mikate ya kiyahudi kaka unakata kama kaukauJaribu na kusukuma pia
Nimerudi mapema saa kumi af nilikuwa na njaa nimemaliza matunda naona njaa bado wali nimechoka ndio saa 12 nikapata ili wazo nikaanza kuandaa up now nakulaila kijana ulipata wapi muda wa kukanda chapati ujue nimefikiria sana kwako muda unamwagika kiasi gani hadi unakanda chapati ndugu
Ahhaha hapana isinge kunjikaKuna jamaa nimekaa nae hapa anasema mbona kama chapati za mafalisayo
Hello
Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa
Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo
Nikaanza na chapati
View attachment 3203781
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto
View attachment 3203782
Baada ya hapo nika andaa now nakula karibuni
View attachment 3203783
πππ duh pole ila ukizidi kufanya mazoezi siku ita nyookaNitatengeneza mikate ya kiyahudi kaka unakata kama kaukau