Tule mishikaki, ndizi, viazi,kachumbari na matunda

Ahahahah ila vipo vyakula vya haraka
Kwenye hiyo sekta mi ni konokono, wali tu bila ricecooker ntatumia muda mrefu kweli kuivisha, labda nguna ndio msosi wa chap kwangu, shida ya nguna mboga sasa, mgahawani nawekewa draft ila nikisema nilitengeneze lile draft home nakesha aisee.
 
Ahahah ni mvivu wewe πŸ˜‚
 
Ahahah ni mvivu wewe πŸ˜‚
Amna mkuu, kuna kipindi nilifululiza mwezi mzima najipikikisha, ila hamna chakula nilikua nakula mara nyingi kama wali πŸ˜‚πŸ˜‚, hizo mbanga za kumenya viazi, ndizi aisee nilikua naona muda unapotea tu, nikaona hii sasa too much wali daily (ubunifu 0%) acha nirudi kwa mama muuza nikachague menyu tu.
 
Ahahhah pita tiktok pia unajifunza polepole kaka
 
Kwenye hiyo sekta mi ni konokono, wali tu bila ricecooker ntatumia muda mrefu kweli kuivisha, labda nguna ndio msosi wa chap kwangu, shida ya nguna mboga sasa, mgahawani nawekewa draft ila nikisema nilitengeneze lile draft home nakesha aisee.
Draft sometime inakuja viporo vya mboga vikiwa vingi πŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daaah aisee sio kwamba unapika mwenyewe.
Bibi yang alikua anapend sana kupika draft, mbonga nying nying unachagua hii sili hii nipe.
Baadhi ya wanawake wako vizuri kwenye hilo ila kina sie ni harage harage, nyama nyama no mixing.
 
Back
Top Bottom