Tulia Ackson aache upotoshaji, Kiti cha Naibu Spika kiko wazi kikatiba


Siku huyo mama akiwa speaker nitalidharau bunge Maisha yangu yote. Bunge linahitaji outsider ambaye hausiki na mabaya yaliyotokea. Tunahitaji speaker atakayejua bunge Ni chombo huru na sio kikao Cha CCM. Atakayeheshimu na kutoa haki sawa kwa Kila mbunge bila kuangalia chama alichotoka. Speaker atakayekataa kuwa na wabunge kinyume na katiba.

Huyu Tulia atalifanya bunge liwe kamati ya CCM na kitengo Cha ikulu. Kashasema wazi atajitahidi bunge likosoe serikali kwa heshima, swali heshima itapimwa na nani?. Halafu kasema seriakali siyo lazima ipokee ushauri wa bunge. Sasa bunge lipo kwaajili gani? Kulipana posho na kupiga meza tu?. Kila siku tunarudi nyuma kisiasa bunge la 2022 linazidiwa na Bunge la 1995 la kina Masumbuko Lamwai na ndimara tegambwage.
 
haya ndo majitu mahuni ,ambayo mh.polepole anayataka yatubu lkn ndo kwanza yanajitoa ufahamu!! tulia acha uroho ,utakuua !!
 
Naunga mkono hoja, mimi huu nimeuita ubatili !.
P
 
Tulia amechukua form ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya spika, na bado hajateuliwa . . Hivyo u naibu spika utakoma tu iwapo chama chake kitampitisha kuwania kiti cha spika .
 
Huyu Dada hana akili wala busara! Hapa angepaswa kutulia muda wake wa Unaibu Spika uishe ndo agombee Uspika! Hana sifa ya kugombea Uspika ! Sasa hivi mchakato uko kwenye Chama chake lakini Chama chake kikimpitisha tu na akachukua fomu kwa Katibu wa Bunge ya kugombea Uspika automatically anapoteza unaibu Uspika!
Kwa hatua hii bado yuko ndani ya chaki na Yeriko Nyerere hauko sahihi!
Mchakato wa kugombea Uspika unafanyika Bungeni na si ndani ya CCM.
 
She wants to have her cake and eat it.
Sorry, wrong my dear Sky Eclat, if you have your cake you can eat it. It is obvious that if you have your cake, nothing stops you from eating it if you want because you eat what you have!

What you can't do is eat what you dont have! Once you have eaten your cake that is it...the cake is gone and you can't eat what you don't have! But Tulia wants to eat her cake and still have it!

No no no, that's impossible! Once the cake is eaten, it is gone.


Your browser is not able to display this video.


  • Tulia wants to take a swim and not get wet!
  • Tulia wants both the butter and the money used to buy the butter!
  • For Tulia heads are hers and tails are hers!
  • Tulia wants to ride two horses with one backside!
  • Tulia wants to chase two rabbits at the same time, that's crazy!
  • Tulia is being greedy and that's called gluttony...only pigs own that!
Mtaka vyote hukosa vyote!
 
Kwa sasa naona yupo sahihi kwasababu bado siyo mgombea wa uspika. Labda hapo akipitishwa, lakini pia napo labda anaweza kuwa sahihi, tunaona Rais anagombea urais akiwa bado ni Rais!! Huwa hatusemi rais jiuzulu ndiyo uingie kwenye kinyang'anyiro.

Shida yangu na huyu sista ni kuwa ataenda kulifanya bunge kuwa dhaifu hata zaidi. Inaonekana hakutakuwa na mijadala yenye nguvu bungeni.
 

Wewe ni bush lawyer unayesoma Katiba kama novel. Swali la msingi unalopaswa kujiuliza na kulitafutia jibu ni: Kwanini waliokatazwa kwa kutajwa wazi wamekatazwa? Jibu la msingi ni kuzuia conflicts of interest. Huwezi kuwa na speaker ambaye ni sehemu ya mhimili wa executive au judiciary. Hiyo mihimili mitatu inakuwa kept separate for a reason: CHECKS AND BALANCES. Mtumishi yeyote wa mhimili wa executive au judiciary, hata kama hajatajwa waziwazi, hawezi kuwa na sifa za kugombea kiti cha speaker.

Deputy Speaker Tulia, kama mbunge asiye na majukumu mengine kwenye mihimili mingine, hana potential conflict of interest yoyote Bungeni. Sio sahihi kusema Katiba haimruhusu kugombea kiti cha Speaker!

Ni uzembe kujaribu kuchangia kwenye mijadala ambayo huwezi kuchangia intelligently and meaningfully. Umeandika sana, lakini that was just wastage of your own time (on nonsense)!
 
Wewe ni ccm?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 

Mkuu Hii Sio Field yako. Umepuyanga.
 
Utakuwa umetumwa, twambie akishinda kiti cha unaibu spika kinabaki wazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…