Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Sihitaji kuwa mwanachama wa chama cha siasa kuchangia katika mjadala unaogusa maslahi ya taifa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo akishinda itabidi achaguliwe Naibu Speaker?
Utakuwa umetumwa, twambie akishinda kiti cha unaibu spika kinabaki wazi?
Sijui kwanini watu hawajitokezi kuchukua form ya kugombea Unaibu Spika wakati sheria ziko wazi, au tatizo mgombea ili ashinde lazima awe na DNA ya CCM ndio maana watu wa nje wanaogopa kuchukua form, na CCM wenyewe wako kimya kwasababu wameshazoea kuvunja sheria.
Natamani wajitokeze saizi wengine wachukue form za kugombea unaibu ingawa huyu mama hajaachia kiti[emoji23]
Labda anajua hawezi kuchagukiwa kwenye Uspika ..ndo maana hataki kuachia UnaibuNatamani wajitokeze saizi wengine wachukue form za kugombea unaibu ingawa huyu mama hajaachia kiti[emoji23]
Yale yale ya Andrew Change....Huyo mama ni mroho wa madaraka
Swali Dogo ndg...!?Kiti cha Speaker au Deputy Speaker kinajazwa pale tu kinapokuwa wazi.
Unazungumzia wanasheria hawa hawa ambao wanauza chipsi na kushinda kwenye vijiwe vya drafti?Haiwezekani mtu anavunja katiba na anaachwa tu na wanasheria wapo na chama chao kimekaa kimya.
Tabia hii ya kuwaacha hawa waarifu wa kikatiba ndio inafanya tuwe laugh stock of East Africa,mko wapi wanasheria?
Pelekeni hii kesi mahakamani ASAP!
Watanzania wanachuki kweli! Wivu kitu kibaya sana, mwache agombee ndiyo maana ya demokrasiTulia mbishi balaa! ananiboaga kujifanya anoongea kiswahili cha kizungu kubana pua!
Siku huyo mama akiwa speaker nitalidharau bunge Maisha yangu yote. Bunge linahitaji outsider ambaye hausiki na mabaya yaliyotokea. Tunahitaji speaker atakayejua bunge Ni chombo huru na sio kikao Cha CCM. Atakayeheshimu na kutoa haki sawa kwa Kila mbunge bila kuangalia chama alichotoka. Speaker atakayekataa kuwa na wabunge kinyume na katiba.
Huyu Tulia atalifanya bunge liwe kamati ya CCM na kitengo Cha ikulu. Kashasema wazi atajitahidi bunge likosoe serikali kwa heshima, swali heshima itapimwa na nani?. Halafu kasema seriakali siyo lazima ipokee ushauri wa bunge. Sasa bunge lipo kwaajili gani? Kulipana posho na kupiga meza tu?. Kila siku tunarudi nyuma kisiasa bunge la 2022 linazidiwa na Bunge la 1995 la kina Masumbuko Lamwai na ndimara tegambwage.
Bunge gani unalotaka outsider? hili ambalo ni chama kimoja? atafanya nini kwa mfano kulidhibiti! usijidanganye unapoteza muda wako tu, hata umuweke nani laizma atatoka CCM na akipiga kelele tu anatolewa. pigania katiba mpya achana na mambo ya akina Tulia kamuulize ndugai kilichompata. huwezi shindana na Mwenyekiti na amiri jeshi mkuu halafu uakabaki salama. yeye ndiyo mwenyekiti wa chama na speaker anapitihswa na chama chini ya mwneyekiti. Maandishi yako sioni hoja yoyote hapo zaidi zaidi naona kama unachuki tu naTulia au wanawake maana huwezi weka mtu yeyeote akafurukuta atatolewa siku hiyohiyo.Siku huyo mama akiwa speaker nitalidharau bunge Maisha yangu yote. Bunge linahitaji outsider ambaye hausiki na mabaya yaliyotokea. Tunahitaji speaker atakayejua bunge Ni chombo huru na sio kikao Cha CCM. Atakayeheshimu na kutoa haki sawa kwa Kila mbunge bila kuangalia chama alichotoka. Speaker atakayekataa kuwa na wabunge kinyume na katiba.
Huyu Tulia atalifanya bunge liwe kamati ya CCM na kitengo Cha ikulu. Kashasema wazi atajitahidi bunge likosoe serikali kwa heshima, swali heshima itapimwa na nani?. Halafu kasema seriakali siyo lazima ipokee ushauri wa bunge. Sasa bunge lipo kwaajili gani? Kulipana posho na kupiga meza tu?. Kila siku tunarudi nyuma kisiasa bunge la 2022 linazidiwa na Bunge la 1995 la kina Masumbuko Lamwai na ndimara tegambwage.
hamia zambia basiWatanzania wanachuki kweli! Wivu kitu kibaya sana, mwache agombee ndiyo maana ya demokrasi
Njaaa,fulsa ya kupiga pesa ipo,na kwa bongo ambsvyo tumelala,kila kitu kinawezekana,Raisi anamtoa mtu wizara ya sheria,harafu anasema atakuwa anasimamia mikataba wakati sio waziri Wala mwajiriwa wa serikali!!Huyo mama ni mroho wa madaraka
Mi nishasema kitambo , hii nchi ni kubwa mno , Jambo Jema ni kujikata ndo tutathaminiana ,kanda ya ziwa kivyao, kaskazini kivyao , kusini kivyao ..ukiongea Sana unaonekana unaharibu Amani , wakati ni Amani hewa ni unyonyaji wa wazi ..Yale yale ya Andrew Change....
Jiulize kwa akili ya kawaida....
Kasahau nini anachotaka kukirekebisha..!!?
1)Mikataba ya kipigaji yumo
2)Marekebisho ya sheria mbovu mbovu yumo
3)Ufisadi uliokithili yumo..... na
😂🤣🤣Kwa mara ya mwisho kama sikosei alibainika anarusha rusha unga mjengoni ambao haukuwa na madhara mjengoni yumo ...😂🤣🤣🤣🤣
Bora hii nchi iuzwe kila n'tu afe na chakeee ...🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani wale Covid 19 wapo bungeni kwa sheria ipi?Atakuwa spika na naibu spika
Swali Dogo ndg...!?
Ni kiti kipi kiko wazi kwa sasa ..!!
Speaker au Naibu Speaker..!?