Tulia Ackson aache upotoshaji, Kiti cha Naibu Spika kiko wazi kikatiba

Hata mm natamani sana wajitokeze watu kwenye unaibu mapema.
 
Natamani wajitokeze saizi wengine wachukue form za kugombea unaibu ingawa huyu mama hajaachia kiti[emoji23]
Labda anajua hawezi kuchagukiwa kwenye Uspika ..ndo maana hataki kuachia Unaibu
 
Huyo mama ni mroho wa madaraka
Yale yale ya Andrew Change....
Jiulize kwa akili ya kawaida....
Kasahau nini anachotaka kukirekebisha..!!?
1)Mikataba ya kipigaji yumo
2)Marekebisho ya sheria mbovu mbovu yumo
3)Ufisadi uliokithili yumo..... na
😂🤣🤣Kwa mara ya mwisho kama sikosei alibainika anarusha rusha unga mjengoni ambao haukuwa na madhara mjengoni yumo ...😂🤣🤣🤣🤣

Bora hii nchi iuzwe kila n'tu afe na chakeee ...🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haiwezekani mtu anavunja katiba na anaachwa tu na wanasheria wapo na chama chao kimekaa kimya.

Tabia hii ya kuwaacha hawa waarifu wa kikatiba ndio inafanya tuwe laugh stock of East Africa,mko wapi wanasheria?

Pelekeni hii kesi mahakamani ASAP!
Unazungumzia wanasheria hawa hawa ambao wanauza chipsi na kushinda kwenye vijiwe vya drafti?
 
 
Bunge gani unalotaka outsider? hili ambalo ni chama kimoja? atafanya nini kwa mfano kulidhibiti! usijidanganye unapoteza muda wako tu, hata umuweke nani laizma atatoka CCM na akipiga kelele tu anatolewa. pigania katiba mpya achana na mambo ya akina Tulia kamuulize ndugai kilichompata. huwezi shindana na Mwenyekiti na amiri jeshi mkuu halafu uakabaki salama. yeye ndiyo mwenyekiti wa chama na speaker anapitihswa na chama chini ya mwneyekiti. Maandishi yako sioni hoja yoyote hapo zaidi zaidi naona kama unachuki tu naTulia au wanawake maana huwezi weka mtu yeyeote akafurukuta atatolewa siku hiyohiyo.
 
Huyo mama ni mroho wa madaraka
Njaaa,fulsa ya kupiga pesa ipo,na kwa bongo ambsvyo tumelala,kila kitu kinawezekana,Raisi anamtoa mtu wizara ya sheria,harafu anasema atakuwa anasimamia mikataba wakati sio waziri Wala mwajiriwa wa serikali!!
 
Mi nishasema kitambo , hii nchi ni kubwa mno , Jambo Jema ni kujikata ndo tutathaminiana ,kanda ya ziwa kivyao, kaskazini kivyao , kusini kivyao ..ukiongea Sana unaonekana unaharibu Amani , wakati ni Amani hewa ni unyonyaji wa wazi ..
 
Mambo mengine nikujisumbua tu.hii nchi kwasasa ni bora liende.kwahiyo usitegemee jipya au jambo la maana.wenye rungu wako kwa ajili ya maslahi yao ndo maana hawaoni uvunjifu wa sheria au katiba ya nchi.wanafanya kile wanachokitaka wao.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…