Tulia Ackson alipokuwa anazunguka na majeneza ili kuizika CHADEMA Mbeya, hawa viongozi wa dini ya Kikristo walikuwa wapi?

Tulia Ackson alipokuwa anazunguka na majeneza ili kuizika CHADEMA Mbeya, hawa viongozi wa dini ya Kikristo walikuwa wapi?

Gwajiboy ni mzee wa fursa na mzizi .

Aisee kanisa la Gwajima limejaa uzinzi.

Sio kwa uzinzi ule, kuanzia top to bottom.

Mpaka nimeshangaa
 
Tukio la Mashabiki wa Simba la kuingia na Jeneza Uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa Dini , na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na Mzee wa Mkono wa Baunsa , Gwajima .

Sijaelewa kilichowatoa mafichoni , kama ni Ushabiki wao kwa Yanga au ni kwa sababu ya Jeneza , na au labda nifahamishwe kama watu hawa wameingia nchini Tanzania Wiki iliyopita , vinginevyo nitawashangaa

Tulia Ackson katika harakati zake za kuusaka Ubunge wa Mbeya Mjini , baada ya kutumwa na Magufuli alibeba Majeneza na misalaba ya kila rangi kama Ishara ya kuizika Chadema , alitembea Mbeya yote bila kificho chochote , Mbona Kilaini na Gwajima walinyamaza ? wakati huyu Tulia akifanya yote haya alikuwa Naibu wa Spika wa Bunge la Tanzania (sasa hivi ni spika kamili) , ni mtu aliyekuwa anajitambua , mbona hawa wacha Mungu hawakuwahi kukemea ? Iweje leo mtu Msela kama Tundaman akifanya aliyoyafanya Tulia wao wanapambana naye , Kulikoni ?
Wanafiki sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msanii Tundaman kwa jina halisi Khalid Ramadhani Tunda huyu dini yake ni muislam kwani ameshindwa kutumia dini yake ya kislam kuwakilisha maudhui yale kwa kuchukua jeneza la mskitini kama alikuwa anahisi yuko sahihi mpaka abebe mavazi ya kikuhani na misalaba.
Viongozi wa uwanja na simba wanapaswa kuomba radhi maana kabla ya performance wasanii wanafanya rehearsal mapema.
 
Tuna man ni muislamu au ana jina la kiisilamu?
 
Imeandikwa;

“ Kwa maana Neno la Msalaba kwetu sisi tuokolewao ni nguvu ya Mungu bali kwao wapoteao ni upuuzi”

Kweli kina Gwajima na wenzie hatuwaelewi mbona alichofanyaga bi Tuli hakukemea wakati ule ?
 
Tukio la Mashabiki wa Simba la kuingia na Jeneza Uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa Dini , na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na Mzee wa Mkono wa Baunsa , Gwajima .

Sijaelewa kilichowatoa mafichoni, kama ni Ushabiki wao kwa Yanga au ni kwa sababu ya Jeneza , na au labda nifahamishwe kama watu hawa wameingia nchini Tanzania Wiki iliyopita , vinginevyo nitawashangaa

Tulia Ackson katika harakati zake za kuusaka Ubunge wa Mbeya Mjini, baada ya kutumwa na Magufuli alibeba Majeneza na misalaba ya kila rangi kama Ishara ya kuizika Chadema, alitembea Mbeya yote bila kificho chochote, Mbona Kilaini na Gwajima walinyamaza?

Wakati huyu Tulia akifanya yote haya alikuwa Naibu wa Spika wa Bunge la Tanzania (sasa hivi ni spika kamili), ni mtu aliyekuwa anajitambua, mbona hawa wacha Mungu hawakuwahi kukemea? Iweje leo mtu Msela kama Tundaman akifanya aliyoyafanya Tulia wao wanapambana naye, Kulikoni?
Unajuaje kama hakukaripiwa kiutu uzima?
Halafu ilikuwa Awamu gani vile?
Awamu ambayo watu walikuwa wakijitoa ufahamu.
 
Acha ujinga, we unaona alochokifamya ni sahihi, kwann achezee Iman za Watu. Tena wakristo wastaarabu angekumbana na waislam angechezea kichapa palepale, angejua hajui
Ulisoma kwanza alichoandika ukaelewa au ulikuwa na hamu ya kuandika maneno ..."acha ujinga"...?
 
Tukio la Mashabiki wa Simba la kuingia na Jeneza Uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa Dini , na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na Mzee wa Mkono wa Baunsa , Gwajima .

Sijaelewa kilichowatoa mafichoni, kama ni Ushabiki wao kwa Yanga au ni kwa sababu ya Jeneza , na au labda nifahamishwe kama watu hawa wameingia nchini Tanzania Wiki iliyopita , vinginevyo nitawashangaa

Tulia Ackson katika harakati zake za kuusaka Ubunge wa Mbeya Mjini, baada ya kutumwa na Magufuli alibeba Majeneza na misalaba ya kila rangi kama Ishara ya kuizika Chadema, alitembea Mbeya yote bila kificho chochote, Mbona Kilaini na Gwajima walinyamaza?

Wakati huyu Tulia akifanya yote haya alikuwa Naibu wa Spika wa Bunge la Tanzania (sasa hivi ni spika kamili), ni mtu aliyekuwa anajitambua, mbona hawa wacha Mungu hawakuwahi kukemea? Iweje leo mtu Msela kama Tundaman akifanya aliyoyafanya Tulia wao wanapambana naye, Kulikoni?
Watakujibu kuwa "two wrongs do not make a right", au "fuata maneno yangu na siyo matendo yangu". Kwamba tufuate mahubiri yao lakini tusifuate ushabiki wao kwa Yanga na CCM. Wanasahau ndani ya CCM kuna Yanga na Simba. Ndani ya vyama vya upinzani pia kuna Yanga na Simba. Na ndani ya Yanga na Simba kuna CCM na upinzani. Ndani ya Yanga, Simba, CCM na vyama vya upinzani kuna waumini wa dini mbalimbali pia.
Mimi ningewaasa wasituchanganye, watuache tufurahie utani wa jadi. Tunakereka na mengi tunakuja kujiachia kwenye mpira na michezo mingine. Watuache tujiachie huko, stress tunazopata kwengine zinatutosha, wasitukabe hadi kwenye michezo.
 
Askofu Kilaini alikula hela chafu ya escrow. Gwajiboy alimtukana Cardinal Pengo,alijirekodi akimtafuna muumini wake,alivunja ndoa ya muumini wake Imma. Hivi hawa maaskofu michongo wanapata wapi moral authority ya kukemea lolote kwa kofia ya uaskofu? Hawa ni wanasiasa waliofifia wanatafuta kiki kwa kofia ya ushabiki wa mpira wakijua huko watu wengi hawajiulizi mara mbili. Hawa ni wahuni wa kawaida tu tuwapuuze.
 
Msanii Tundaman kwa jina halisi Khalid Ramadhani Tunda huyu dini yake ni muislam kwani ameshindwa kutumia dini yake ya kislam kuwakilisha maudhui yale kwa kuchukua jeneza la mskitini kama alikuwa anahisi yuko sahihi mpaka abebe mavazi ya kikuhani na misalaba.
Viongozi wa uwanja na simba wanapaswa kuomba radhi maana kabla ya performance wasanii wanafanya rehearsal mapema.
Ok fine kuhusu Tundaman, na huyu mleta uzi sijuhi ana imani gani?
 
Tukio la mashabiki wa Simba la kuingia na jeneza uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa dini na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na mzee wa mkono wa baunsa Gwajima. Sijaelewa kilichowatoa mafichoni, kama ni ushabiki wao kwa Yanga au ni kwa sababu ya jeneza au labda nifahamishwe kama watu hawa wameingia nchini Tanzania Wiki iliyopita, vinginevyo nitawashangaa.

Tulia Ackson katika harakati zake za kuusaka ubunge wa Mbeya Mjini, baada ya kutumwa na Magufuli alibeba majeneza na misalaba ya kila rangi kama Ishara ya kuizika CHADEMA. Alitembea Mbeya yote bila kificho chochote, mbona Kilaini na Gwajima walinyamaza?

Wakati huyu Tulia akifanya yote haya alikuwa Naibu wa Spika wa Bunge la Tanzania (sasa hivi ni spika kamili). Ni mtu aliyekuwa anajitambua, mbona hawa wacha Mungu hawakuwahi kukemea? Iweje leo mtu msela kama Tundaman akifanya aliyoyafanya Tulia wao wanapambana naye, kulikoni?​
Kufanyika kwa kosa alafu likakosa mtu wa kulikemea, likatokea kosa lingine linalofanana kama hilo alafu akatokea wa kulikemea. Mtu huyo hapaswi kulaumiwa kwa sababu sio lazima kukemea kwa kila jambo wakati huo.
Tabia fulani mbaya inapojirudia ili isionekane ni kitu cha kawaida inapaswa kukemewa kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom