Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
kwaiyo masanduku ya kuzikia yote Imani yenu nyie wajinga?Kwani jeneza likiwa orijino ndiyo nini? Kama huna hoja ni bora kunyamaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwaiyo masanduku ya kuzikia yote Imani yenu nyie wajinga?Kwani jeneza likiwa orijino ndiyo nini? Kama huna hoja ni bora kunyamaza.
Hivi nyie mazuzu,kwaiyo masanduku ya kuzikia Ni alama za imani ya kikristo nyie wafu?!Msanii Tundaman kwa jina halisi Khalid Ramadhani Tunda huyu dini yake ni muislam kwani ameshindwa kutumia dini yake ya kislam kuwakilisha maudhui yale kwa kuchukua jeneza la mskitini kama alikuwa anahisi yuko sahihi mpaka abebe mavazi ya kikuhani na misalaba.
Viongozi wa uwanja na simba wanapaswa kuomba radhi maana kabla ya performance wasanii wanafanya rehearsal mapema.
We mjinga hilo swali muulize yule jamaa aliyesema Tulia hakutumia jeneza orijino.kwaiyo masanduku ya kuzikia yote Imani yenu nyie wajinga?
Kwani jeneza likiwa orijino ndiyo nini? Kama huna hoja ni bora kunyamaza.
Tukio la mashabiki wa Simba la kuingia na jeneza uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa dini na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na mzee wa mkono wa baunsa Gwajima. Sijaelewa kilichowatoa mafichoni, kama ni ushabiki wao kwa Yanga au ni kwa sababu ya jeneza au labda nifahamishwe kama watu hawa wameingia nchini Tanzania Wiki iliyopita, vinginevyo nitawashangaa.
Tulia Ackson katika harakati zake za kuusaka ubunge wa Mbeya Mjini, baada ya kutumwa na Magufuli alibeba majeneza na misalaba ya kila rangi kama Ishara ya kuizika CHADEMA. Alitembea Mbeya yote bila kificho chochote, mbona Kilaini na Gwajima walinyamaza?
Wakati huyu Tulia akifanya yote haya alikuwa Naibu wa Spika wa Bunge la Tanzania (sasa hivi ni spika kamili). Ni mtu aliyekuwa anajitambua, mbona hawa wacha Mungu hawakuwahi kukemea? Iweje leo mtu msela kama Tundaman akifanya aliyoyafanya Tulia wao wanapambana naye, kulikoni?

hii picha wenye jukwaa hawaitakiView attachment 2321489
Hapa alikuwa anafanya nini?
so what ? mnataka kuficha nini ?Yalikuwa na misalaba na nguo za wachungaji?
Unamuonea wivu mwanamke mwenzio?Kwamba Tulia hakubeba msalaba ?
Waweke mwezi na nyota tuone Kama hamtajilipua na kuandamana nchi nzimaKwahiyo wakristo imani yenu Ni masanduku ya kuzikia na kila alama ya msalaba inawahusu imani yenu?! Dini zingine Ni upuuzi kweli!
Watufungie kama hawaitakihii picha wenye jukwaa hawaitaki
Kama ambavyo unavyowapelekea kule Buguruni Rozana kwa wenzako wale mnaopanga foleni.Shosti Sijakuquote hasira zako pelekea bwana wako azichokonoe vizuri
Kama ambavyo unavyowapelekea kule Buguruni Rozana kwa wenzako wale mnaopanga foleni.
Kilaini ni mpumbafu kama wapumbafu wengine. Amejaa uccm tuHapana, mimi sijasema hivyo..!! Nilichokisema ni kwamba aache kumsingizia Askofu Kilaini.. hajasema lolote kuhusu jeneza. Kama Tulia alibeba au hakubeba msalaba haibadirishi ukweli kwamba Kilaini hajazungumzia lolote kuhusu jeneza. Kilaini kataja msalaba na mavasi ya kuendeshea ibada au misa
Wewe wasema..!Kilaini ni mpumbafu kama wapumbafu wengine. Amejaa uccm tu
Yule boya. Msalaba sio alama ya ukristo jeneza ni sanduku la kuhifadhi miili ya wafu.Wewe wasema..!
Wewe wasemaYule boya. Msalaba sio alama ya ukristo jeneza ni sanduku la kuhifadhi miili ya wafu.