Tulia Ackson alipokuwa anazunguka na majeneza ili kuizika CHADEMA Mbeya, hawa viongozi wa dini ya Kikristo walikuwa wapi?

Msanii Tundaman kwa jina halisi Khalid Ramadhani Tunda huyu dini yake ni muislam kwani ameshindwa kutumia dini yake ya kislam kuwakilisha maudhui yale kwa kuchukua jeneza la mskitini kama alikuwa anahisi yuko sahihi mpaka abebe mavazi ya kikuhani na misalaba.
Viongozi wa uwanja na simba wanapaswa kuomba radhi maana kabla ya performance wasanii wanafanya rehearsal mapema.
Hivi nyie mazuzu,kwaiyo masanduku ya kuzikia Ni alama za imani ya kikristo nyie wafu?!
 
Tukio la mashabiki wa Simba la kuingia na jeneza uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa dini na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na mzee wa mkono wa baunsa Gwajima. Sijaelewa kilichowatoa mafichoni, kama ni ushabiki wao kwa Yanga au ni kwa sababu ya jeneza au labda nifahamishwe kama watu hawa wameingia nchini Tanzania Wiki iliyopita, vinginevyo nitawashangaa.

Tulia Ackson katika harakati zake za kuusaka ubunge wa Mbeya Mjini, baada ya kutumwa na Magufuli alibeba majeneza na misalaba ya kila rangi kama Ishara ya kuizika CHADEMA. Alitembea Mbeya yote bila kificho chochote, mbona Kilaini na Gwajima walinyamaza?

Wakati huyu Tulia akifanya yote haya alikuwa Naibu wa Spika wa Bunge la Tanzania (sasa hivi ni spika kamili). Ni mtu aliyekuwa anajitambua, mbona hawa wacha Mungu hawakuwahi kukemea? Iweje leo mtu msela kama Tundaman akifanya aliyoyafanya Tulia wao wanapambana naye, kulikoni?​

Kwani yakikuwa na misalaba na nguo za wachungaji?
 
Yalikuwa na misalaba na nguo za wachungaji?
 
kumbe ndio huwa unajiuza huko pole badili kijiwe hadi unakosa pesa ya vocha,quote imekaa wiki nzima hujajibu aiseee
Kama ambavyo unavyowapelekea kule Buguruni Rozana kwa wenzako wale mnaopanga foleni.
 
Hapana, mimi sijasema hivyo..!! Nilichokisema ni kwamba aache kumsingizia Askofu Kilaini.. hajasema lolote kuhusu jeneza. Kama Tulia alibeba au hakubeba msalaba haibadirishi ukweli kwamba Kilaini hajazungumzia lolote kuhusu jeneza. Kilaini kataja msalaba na mavasi ya kuendeshea ibada au misa
Kilaini ni mpumbafu kama wapumbafu wengine. Amejaa uccm tu
 
Back
Top Bottom