Uchaguzi 2020 Tulia Ackson ameshashindwa kabla hata kampeni hazijaanza

!
 
!
 
Rudia swali lako
 
Rudia swali lako
Hivi huyu Sugu ndiye aliyeongoza kupigiwa kura na wananchi kuliko wabunge wote wa CCM na Upinzani. Sugu alipata kura 100,000 kati ya kura 166,000 zilizopigwa kwa Jimbo la Mbeya Mjini Mwaka 2015.

Sasa hao watu 100,000 pengine 90% bado wako hai Mbeya, utawashawishi vipi wampe Tulia Ackson kura? Kitu gani kimetokea mpaka wamchukie Sugu?

Nawalaumu ma-strategist wa Tulia si watu makini. Ilibidi waangalie beyond matakwa ya Tulia na kushauri vizuri. Otherwise wanamlia hela zake tu
 
Mkishindwa mmeibiwa kura, mkishinda matusi kwa wingi tu.
 
Sugu ni mtu Kama mimi na wewe tu. Asipotimiza ahadi watu wanampiga chini.
 
Sugu ni mtu Kama mimi na wewe tu. Asipotimiza ahadi watu wanampiga chini.
Kwani mwaka 2020 uchaguzi ulifanyika? Hawa akina Tulia Ackson wakiandikwa tu na DSO na NEC ndiyo wakawa wabunge. Tulia hawezi kufurukuta kwa Sugu kama NEC, Polisi na TISS hawataweka mkono wa kuingiza kura FEKI kwenye masanduku. cc Kiturilo
 
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua, Tulia ni mbunge wa Mbeya Mjini na aliutafuta ubunge kwa mikakati ya muda mrefu.
 
Huyu maza hakubaliki mbeya lije jua ije mvua.
 
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua, Tulia ni mbunge wa Mbeya Mjini na aliutafuta ubunge kwa mikakati ya muda mrefu.
Hakuna mkakati wowote. Tulia aliwekwa tu na Magufuli. Tusiseme mengi, hebu turudi hapa tena 2025 siyo mbali
 
Ushauri:
Tulia tafuta kingine cha kufanya, achana na ubunge Mbeya. Wenyewe hawakutaki, usidanganywe na RC Chalamila hawezi kukusaidia lolote.
Kama alivyo shangaza kwenye ubunge, sasa anakwenda kushangaza kwenye Uspika
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…