PawaaaaaMbeya wako vizuri sana, pipooz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PawaaaaaMbeya wako vizuri sana, pipooz
Tulia Ackson alishinda kura za maoni kwa kununua kura za wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jimbo la Mbeya Mjini 800 kati ya 900. Je, anaweza kuwanunua hawa wananchi wa Mbeya ambao mapenzi yao yako CHADEMA?
Je, utaweza kuiba kura za wananchi wa Mbeya?
Ushauri:
Tulia tafuta kingine cha kufanya, achana na ubunge Mbeya. Wenyewe hawakutaki, usidanganywe na RC Chalamila hawezi kukusaidia lolote.
CHADEMA ina nguvu sana Nyanda za juu kusini. Na siku zinavyozidi kwenda ndo inazidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi. Waliotunga propaganda kuwa Chadema ni Chama cha kaskazini wamefeli vibaya sana kwa kweli.
Nina uhakika wa asilimia 99 kuwa Magufuli anaweza asipate hata kura 500 Nyanda za Juu kusini.
Hivi huyu Sugu ndiye aliyeongoza kupigiwa kura na wananchi kuliko wabunge wote wa CCM na Upinzani. Sugu alipata kura 100,000 kati ya kura 166,000 zilizopigwa kwa Jimbo la Mbeya Mjini Mwaka 2015.
Sasa hao watu 100,000 pengine 90% bado wako hai Mbeya, utawashawishi vipi wampe Tulia Ackson kura? Kitu gani kimetokea mpaka wamchukie Sugu?
Nawalaumu ma-strategist wa Tulia si watu makini. Ilibidi waangalie beyond matakwa ya Tulia na kushauri vizuri. Otherwise wanamlia hela zake tu
Hivi huyu Sugu ndiye aliyeongoza kupigiwa kura na wananchi kuliko wabunge wote wa CCM na Upinzani. Sugu alipata kura 100,000 kati ya kura 166,000 zilizopigwa kwa Jimbo la Mbeya Mjini Mwaka 2015.Rudia swali lako
Mkishindwa mmeibiwa kura, mkishinda matusi kwa wingi tu.Tulia Ackson alishinda kura za maoni kwa kununua kura za wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jimbo la Mbeya Mjini 800 kati ya 900. Je, anaweza kuwanunua hawa wananchi wa Mbeya ambao mapenzi yao yako CHADEMA?
Je, utaweza kuiba kura za wananchi wa Mbeya?
Ushauri:
Tulia tafuta kingine cha kufanya, achana na ubunge Mbeya. Wenyewe hawakutaki, usidanganywe na RC Chalamila hawezi kukusaidia lolote.
Sugu ni mtu Kama mimi na wewe tu. Asipotimiza ahadi watu wanampiga chini.Hivi huyu Sugu ndiye aliyeongoza kupigiwa kura na wananchi kuliko wabunge wote wa CCM na Upinzani. Sugu alipata kura 100,000 kati ya kura 166,000 zilizopigwa kwa Jimbo la Mbeya Mjini Mwaka 2015.
Sasa hao watu 100,000 pengine 90% bado wako hai Mbeya, utawashawishi vipi wampe Tulia Ackson kura? Kitu gani kimetokea mpaka wamchukie Sugu?
Nawalaumu ma-strategist wa Tulia si watu makini. Ilibidi waangalie beyond matakwa ya Tulia na kushauri vizuri. Otherwise wanamlia hela zake tu
Kwani mwaka 2020 uchaguzi ulifanyika? Hawa akina Tulia Ackson wakiandikwa tu na DSO na NEC ndiyo wakawa wabunge. Tulia hawezi kufurukuta kwa Sugu kama NEC, Polisi na TISS hawataweka mkono wa kuingiza kura FEKI kwenye masanduku. cc KituriloSugu ni mtu Kama mimi na wewe tu. Asipotimiza ahadi watu wanampiga chini.
RightKwani mwaka 2020 uchaguzi ulifanyika? Hawa akina Tulia Ackson wakiandikwa tu na DSO na NEC ndiyo wakawa wabunge. Tulia hawezi kufurukuta kwa Sugu kama NEC, Polisi na TISS hawataweka mkono wa kuingiza kura FEKI kwenye masanduku. cc Kiturilo
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua, Tulia ni mbunge wa Mbeya Mjini na aliutafuta ubunge kwa mikakati ya muda mrefu.Kwani mwaka 2020 uchaguzi ulifanyika? Hawa akina Tulia Ackson wakiandikwa tu na DSO na NEC ndiyo wakawa wabunge. Tulia hawezi kufurukuta kwa Sugu kama NEC, Polisi na TISS hawataweka mkono wa kuingiza kura FEKI kwenye masanduku. cc Kiturilo
2025 Huyo mwanamuziki wa kufokafoka atakuwa keshapotezwa mazima.Hakuna mkakati wowote. Tulia aliwekwa tu na Magufuli. Tusiseme mengi, hebu turudi hapa tena 2025 siyo mbali
Kama alivyo shangaza kwenye ubunge, sasa anakwenda kushangaza kwenye UspikaUshauri:
Tulia tafuta kingine cha kufanya, achana na ubunge Mbeya. Wenyewe hawakutaki, usidanganywe na RC Chalamila hawezi kukusaidia lolote.