Tulia Ackson ana uroho wa Madaraka

Labda wanasubiri kwenye uteuzi ili wamuengue.
Mimi natamani wamteue kugombea na wenzie, aingie kwenye mchakato wa kutafuta kura ili hapo sasa alazimishwe kuachia unaibu spika, halafu ndio kura za uspika zipigwe sasa.
 

Wewe ukimwangalia unamuonaje? unaona ana tofauti na wanasiasa wengi walio Bungeni? Let's be honest.
 
Kwa chenge Ni sawa Ni babu Sana hachukui round mungu akamchukuwa na mirija ya pesa zote sinakata ingawa tulia anaweza kusurvive 40 years hyo Ni hasara kubwa kwa taifa ...
 
hii ndo shida ya mataifa mengi ya kiafrika.watu wanatafuta uongozi si kwa ajili ya kuwatumikia wananchi la hasha bali kuyatumikia watumbo yao.tusipoweza kuiandika katika upya mambo haya hayaepukiki.tupaze sauti tupate katika yenye mashiko.
 
Kwani ni dhambi mtu kuomba aongezwe cheo? Au Hila zenu tu zisizo na msingi kwa Spika ajae?
 
Kwa chenge Ni sawa Ni babu Sana hachukui round mungu akamchukuwa na mirija ya pesa zote sinakata ingawa tulia anaweza kusurvive 40 years hyo Ni hasara kubwa kwa taifa ...
Kumbuka waliosema Lowassa ni mgonjwa na mzee wametangulia wao.
 
Tulitegemea amrithi mama, keshaharibu cv
 
Hapana hakufundishwa na kaput hapana she is bright, madaraka ndio yamefanya akili zikahamia tumboni.
Hawezi kuwa bright jana halafu leo akawa kilaza. Huyo ni kilaza "typical", sema jitihada zake zinamtoa kwenye ukilaza typical kwenye macho ya jamii.
Anayoyafanya ni "ukilaza" wa hali ya juu sana.
 
Tuache unafiki - binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zote anatafuta maendeleo na kuboresha nafasi yake katika jamii- heshima, mali na kufanikisha matamanio yake binafsi. Mheshimiwa Tulia kutafuta nafasi ya juu ndio mategemeo ya kila mtu, asingeomba tunge mshangaa - sifa anazo kwanini asigombe nafasi ya juu.
 
Tofautisha tamaa na maendeleo, usiporidhika na ulichonacho na kutaka vya wenzako hiyo ni tamaa sio maendeleo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…