- Thread starter
- #41
Hivi aliwekwa kinyume na katiba?Ameshasahu kuwa Mwendazake aliyemweka kwenye Unaibu Supika kinyume na Katiba hayuko tena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi aliwekwa kinyume na katiba?Ameshasahu kuwa Mwendazake aliyemweka kwenye Unaibu Supika kinyume na Katiba hayuko tena!
Hata yeye inawezekana amepitisha barua ya kuomba kwa mwajili. Na akapewa ruhusa.Kama ni mtumishi wa umma huruhusiwi kufanya interview yeyote iwe ya ndani au nje hadi uwe na ruhusa ya mwajiri wako.
Achana na hao vijana wapambe hata Mama keshawashtukiaHivi UVCCM hawalioni hili?
Binafsi ninao watu watatu nawalaumu na nitaendelwa kuwalaumu Kwa mfuatano, kutoka juu kwenda chini, wakwanza hayupo, wapili yamenfika yakumfika, watatu ndiye tunaemshangaa hapa hivi sasa, Kwa weledi wake wa kitanzania🤔🤔.Litakuwa kosa kubwa, anajisikia, kiburi, majivuno hafai ,hakufaa hata unaibu.
Jalalani center.Huoni soni ku declare kwamba huyo alikuwa Mwalimu wako??!!, ulifundishwa na Caput??!!🤣
Ni mtu wa hovyo sana hafai ni anatamaa kupita kiasiAmechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Jamaa wanaishi kwenye sayari yao tofauti na sisiViongozi wetu wengi hawana maadili na wamejawa tamaa na madharau,walifundishwaga kujiamulia mambo watakavyo na kibabe nakuwa katiba,sheria na taratibu za jamii sio muhimu...
Alizawadiwa na MAGUFULI , UBUNGE LAKINI SASA HAKUMBUKI HATA KIDOGO AKILI HANALitakuwa kosa kubwa, anajisikia, kiburi, majivuno hafai ,hakufaa hata unaibu.
Ccm Imeoza Na Anajua Akitangaza Anakosa Kote Lakini Ndiyo Tunataka Awe Na Huo Ujasiri Kuachia Democracy Imachukue NafasiSema wewe Pascal. Mwalimu wako LW 101 anakuangusha. Nini hiki anachokionyesha? Kama kweli anadhani anauwezo, ushawishi na maadili atangaze kwanza kuachia nafasi yake ya sasa
Angalau leo umesimamia UKWELI. Hapa umetenda hakiSio anatakiwa kuenguliwa, anatakiwa kuadhibiwa kwa kukiuka masherti ya utumishi wa umma.
P
Hizi ni maneno tuu za kisiasa,mwanasiasa yupi unaemfahamu hana huo uroho wa madaraka? Mbona Mbowe haachii uwenyekiti?Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Hii Sasa ni ego yako binafsi,Chenge hajioni,kujiskia,kuleta dharau na kujifanya ndio mtemi wa Tzn hii?Litakuwa kosa kubwa, anajisikia, kiburi, majivuno hafai ,hakufaa hata unaibu.
Tulia hafai kabisa kuwa Speaker, lakini sio sahihi kusema kwamba ana tamaa ya madaraka kwasababu tu hajajiuzulu unaibu speaker.Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Una uhakika? Ataachia baada ya matokeo,mara ngapi tunaona watumishi wa umma wanaenda kugombea madaraka ya kiasiasa wakishindwa wanarudi ,wanachukua likizo isiyo na malipo.Sheria inamtaka aachie ngazi ya unaibu spika ndipo agombee Uspika, kwa hali hiyo yeye ni mlafi wa madaraka.