Tulia Ackson ana uroho wa Madaraka

Tulia Ackson ana uroho wa Madaraka

Kama ni mtumishi wa umma huruhusiwi kufanya interview yeyote iwe ya ndani au nje hadi uwe na ruhusa ya mwajiri wako.
Hata yeye inawezekana amepitisha barua ya kuomba kwa mwajili. Na akapewa ruhusa.
 
16419968438810.jpg
 
Dr.Tulia atakapokuwa spika wetu basi tunamuomba azidi kusimama IMARA kwa kuyafanyia kazi BAADHI YA MAPUNGUFU YAKE.....

Mwanadamu bora ni yule mwenye kuyafanyia kazi MAPUNGUFU YAKE.....

Mwenyezi Mungu amtangulie Dr.Tulia awe SPIKA wetu aaaamin aaaamin 🙏

#Twende Na Dr.Tulia
 
Litakuwa kosa kubwa, anajisikia, kiburi, majivuno hafai ,hakufaa hata unaibu.
Binafsi ninao watu watatu nawalaumu na nitaendelwa kuwalaumu Kwa mfuatano, kutoka juu kwenda chini, wakwanza hayupo, wapili yamenfika yakumfika, watatu ndiye tunaemshangaa hapa hivi sasa, Kwa weledi wake wa kitanzania🤔🤔.
 
Aachie unaibu spika agombee uspika full stop.
Wajumbe wakimtosa atajua hajui.
 
Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Ni mtu wa hovyo sana hafai ni anatamaa kupita kiasi
 
Litakuwa kosa kubwa, anajisikia, kiburi, majivuno hafai ,hakufaa hata unaibu.
Alizawadiwa na MAGUFULI , UBUNGE LAKINI SASA HAKUMBUKI HATA KIDOGO AKILI HANA
INABIDI AENDE KUTETEA AKIPINGWA CHINI USIPIKA MWAKA UNAOKUJA HAKUJA WA UCHAGUZI LAZIMA AENDE HUKO TUKUYU KWAO
 
Sema wewe Pascal. Mwalimu wako LW 101 anakuangusha. Nini hiki anachokionyesha? Kama kweli anadhani anauwezo, ushawishi na maadili atangaze kwanza kuachia nafasi yake ya sasa
Ccm Imeoza Na Anajua Akitangaza Anakosa Kote Lakini Ndiyo Tunataka Awe Na Huo Ujasiri Kuachia Democracy Imachukue Nafasi
 
Hapa mnajichanganya.

Tulia amechukua fomu kuomba kupendekezwa na chama chake kugombea uspika. Wabunge ndio wanaochagua spika sio chama. Hata wanachama wa vyama vingine wana nafasi ya kugombea uspika kwa mujibu wa taratibu za vyama vyao.

Kwa hiyo atajiuzulu unaibu baada ya kupitishwa na chama chake kama ikiwa hivyo.
 
Kawabania wengine kuchukua form za kugombea Unaibu Spika.

Ni sawa na kupanga foleni kwenye chakula cha msaada ili hali una akiba ya chakula cha kutosha gharani,na uliopanga nao foleni wanajua lakini hawasemi.

Kwenye hili Naibu Spika hana kosa, mwenye kosa ni Katibu wa Bunge ambaye angelimshauri kuchagua moja kwa mujibu wa kanuni.
 
Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Hizi ni maneno tuu za kisiasa,mwanasiasa yupi unaemfahamu hana huo uroho wa madaraka? Mbona Mbowe haachii uwenyekiti?
 
Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Tulia hafai kabisa kuwa Speaker, lakini sio sahihi kusema kwamba ana tamaa ya madaraka kwasababu tu hajajiuzulu unaibu speaker.

Kutaka ajiuzulu kwanza unaibu speaker ndipo agombee kiti cha speaker sio reasonable. Hiyo ni sawa na kutaka kila anayefanya application ya kazi nyingine aiache kwanza kazi aliyonayo. In real life, no one does that!
 
Sheria inamtaka aachie ngazi ya unaibu spika ndipo agombee Uspika, kwa hali hiyo yeye ni mlafi wa madaraka.
Una uhakika? Ataachia baada ya matokeo,mara ngapi tunaona watumishi wa umma wanaenda kugombea madaraka ya kiasiasa wakishindwa wanarudi ,wanachukua likizo isiyo na malipo.
 
Back
Top Bottom