Tulia Ackson atoa msimamo wa Bunge, asema Rais ni Mkuu wa Nchi na ana mambo yote!

Na huo ndio ukweli wenyewe.Tulia awe Spika anatosha kabisa.
 
Hotuba yake ilikuwa sehemu ya kuombea kura.

#KatibaMpya
 
Nani huwa anaweka spika wa wengine? Uliwahi sikia au kuona Nchi gani chama na Serikali inaweka Spika wa kuwapinga ?
 
Sawa alivosema lakini hii haifuti majukumu ya mihimili mingine. Hata ya kuiwajibisha seriaka.
Hekima, harmonidation kati ya mihimili yote ndo jambo muhimu na si kuwaambia raia kuwa muhimili mmoja umejichimbia zaidi
Ndio kwani yeye kafuta jukumu? Amesema watakosoa inavyotakiwa ila kwa staha,si unajua kuna kitu kinaitwa lugha ya kuudhi? Ndicho alifanya Ndugai tena nje ya Bunge.
 
Kwani kaongea uongo? Kazi ya Bunge ni kushauri ila huilazimishi serikali kufuata ushauri tena kwa mujibu wa Katiba.
 
Wananchi wanaomfanya Rais ndio hao wanampa mamlaka ya kuwa mkuu wa vyombo vyote vya Dola kwa mujibu wa Katiba.

Na Katiba ipo kuweka uwiano na mahusiano baina ya mihimili.

Harafu nani aliwaambia kwamba Kazi ya mihimili ni kuleta mtafaruku au kufanya ligi za kukomoana na kuona nani zaidi?
 
Wapi katiba ilisema RAIS, SPIKA NA JAJI MKUU NI LEVEL MOJA??

ACHA KUJITOA UFAHAMU.
Kama tunataka nchi yetu iwe mahali bora kwetu sote fikra kwamba kuna muhimili mkubwa zaidi ni ujinga sana.
Yaani tumfanye mtu atembe akijigamba kuwa yeye ndo mwamba asiyetikiswa. Kama si kupalilia udikteta nini.
Ni lazima fike mahali muimili wowote ujue na uamini kwamba unaweza kutikiswa kama hauendi vizuri. Hiyo ndiyo afya ya taifa
 
Kutamka ni suala moja ila kwenye practical ni ishu tofauti,ndio maana Trump alikuwa anawatimua na hakuna sehemu alivunja Katiba licha ya kuapa kwao huko ulikosema lakini walikuwa wateule wa Rais.
 
Hawa wanamharibu huyu maza
Hakuna namna tutatoka kwenye hiyo tragedy bila kupata Katiba Mpya.

Katiba ya ccm inatumika kutuharibia taifa!

Kumbukeni kuwa ndani ya CCM SSH ni kila kitu kwao. Kwa hali ilivyo sasa wakitofautiana na mwenyekiti wa chama chao hakuna rangi wataacha kuona!
 
mwaka 2017 nakumbuka kwenye saga la makinikia kuna event ilifanyika ikulu , katka waongeaji mle alikuepo Ndugai jamaa akalopoka kuwa ile kamati iliyokuwa inawasilisha taarifa siku ile spika alimpigia simu rais ili ndo aiteue . πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yaani kamati ya bunge speaker anampigia rais ndo aiteue.
 
Ni kademu ka nani kale kwani?
 
Anajisogeza karibu na kiti, ashajua mama yupo kama mtangulizi hataki uende tofauti hapo uhakika kamati kuu kupitisha jina lake
 
Mie nimeelewa hivi;
Sisi watatu tunaishi nyumba moja.
House girl ni muhimili,
Mlinzi, ni muhimili pia,
Mtoto/Watoto ni muhimili. ila Mzazi/ Wazazi ndio MUHIMILI MKUU.
Hahuna cha spika wala mahakama. Rais ndie Muhimili wa mkubwa wa mihimili yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…