Tulia Ackson atumia Tulia Trust kulipia bima anaowaita wazee wasiojiweza Mbeya

Tulia Ackson atumia Tulia Trust kulipia bima anaowaita wazee wasiojiweza Mbeya

Tunamshukuru kwa mkopo wake lakini kama anategemea kupata chochote kutoka kwetu asahau tuna Sugu

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Hiyo ni siasa ngoja afanikiwe kushika ubunge tu uwone hao wazee hizo bima Kama zitaendelea kufanya kazi ni swala muda tu
 
Tulia Trust, inafanya makubwa Jijini Mbeya. Mh. J. Mbilinyi ameshindwa kuchanga karata zake. Mh. Mbilinyi afuate ushauri wa Mama Plan B, Prof. Anna Tibaijuka ama almaarufu, Sister T.

Nimepita maeneo, ya Sokoni Mwanjerwa, SIDO, Soweto, Stendi Kuu, Stendi ya Nane, na maeneo mengine.... yaani unalihisi joto la Tulia Trust na wale walionyuma ya uwepo wa Trust hii.
 
Back
Top Bottom