nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Asante Mkuu!Mamako alikuwa wapi miaka hiyo yote? Wana Mbeya si mambumbumbu kama kule kongwa...
Bila shaka nafsi yako imeridhika, lakini jifunze kusikia mawazo tofauti na ya kwako vinginevyo kaishi dunia ya peke yako!
Sent using Jamii Forums mobile app