Tulia Ackson atumia Tulia Trust kulipia bima anaowaita wazee wasiojiweza Mbeya

Tulia Ackson atumia Tulia Trust kulipia bima anaowaita wazee wasiojiweza Mbeya

Erythrocyte,
Bi dada kama nakuona ulivyo rindima hasira du ! Sijazoea kuona unawaka namna hii ! Pole wee ! Mwambie basi na Sugu wa mavurugu nae alipize kwa kumwaga hela kwa majanki chingaz!

Mbeya hakuna masikini ? Sasa mbona kila kukicha mnalalama ati CCM inalea umasikini na unyonge nchi nzima? Au kwenu mbeya mambo mukide? Guys be consistent jamani !
 
Hivi diamond aliwahi kuwakatia bima wakazi wa tandale pia! Au inakuwa rushwa ikifanywa na mwanasiasa? Najaribu kujiuliza tu lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa wanadhana CCM itatembelea tactics zilezile walizo zizoea...This time watakua suprised! Better nao wajipange kivingine kuliko kulialia foul play ! Mtu akatiwe bima ya afya halafu kura apeleke wapi ? Acha kabisa
 
Mbeya ni maskini tu hamna lolote mshukuruni hata huyo Tulia anawasaidia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Spika wa Bunge mtarajiwa naona anapiga jalamba bila hofu kupitia mbeleko. Ila ninachokijua ni kuwa wana Mbeya wanajielewa, tena sana tu, kwa hiyo ktk jimbo hilu panahitajika kweli uchaguzi utakaokuwa huru na wa haki. La sivyo, kwa jambo lolote lile la kipuuzi, ni kweli patachimbika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tusubirie kauli ya katibu mkuu wao wa chama na msemaji wao tuone unafiki wao kwa jambo hilo la kuwahi kufanya kampeni kabla ya wakati
 
Erythrocyte,
Wacha mchecheto mwisho wa siku ni wananchi ndiyo watakao amua nani awe mwakilishi wao.
Ni ajabu sana kuwa idadi ya masikini mbeya haifiki 100. Mimi nimeishi mbeya miaka zaidi ya mitano na nimeona umaskini hasa akina mama waliotelekezwa na waume au mabibi ambao wamechiwa majukumu ya kulea wajukuu ambao wazazi wao wameaga dunia. Maskini siyo lazima awe amekaa barabari na kibakuli kungojea wasamaria wema.
 
Back
Top Bottom