Tulia Ackson atumia Tulia Trust kulipia bima anaowaita wazee wasiojiweza Mbeya

Tulia Ackson atumia Tulia Trust kulipia bima anaowaita wazee wasiojiweza Mbeya

Spika wa Bunge mtarajiwa naona anapiga jalamba bila hofu kupitia mbeleko. Ila ninachokijua ni kuwa wana Mbeya wanajielewa, tena sana tu, kwa hiyo ktk jimbo hilu panahitajika kweli uchaguzi utakaokuwa huru na wa haki. La sivyo, kwa jambo lolote lile la kipuuzi, ni kweli patachimbika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishasema huyu hata akifanya kampeni bila dera kwa Mbeya ataangukia pua .
 
Mbeya ni maskini tu hamna lolote mshukuruni hata huyo Tulia anawasaidia


Sent from my iPhone using JamiiForums
Tulia Ackson ametusaidia wana Mbeya kwa fedha gani? Ametoa wapi hizo fedha za kuwakatia bima hao mnaowaita maskini?

Atalipwa nini baada ya kutoa huo msaada wa Bima?

Mwito:
1.Bashiru Ally na Philip Mangula, tambueni kuwa Tulia Ackson ameanza kampeni Mbeya Mjini kabla ya wakati.

2. TAKUKURU ufuatiliaji huyu Tulia kwa vitendo vya rushwa!!

3. Wananchi wa Mbeya, kamwe nyie siyo maskini hata kidogo. Lakini kama analeta hizo hela zake pokeeni, ila salamu zake atazipata kwenye box la kura za maoni au uchaguzi mkuu
 
Hakuna sehemu isiyokuwa na maskini.
Sifungamani na siasa za chama chochote ila ukisema mbeya hakuna masikini Ni uongo uliotukuka.
Ungetafuta namna nyingine ya kujenga hoja yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Maskini wa sampuli ya omba omba wagogo na wasukuma waliojaa Dodoma, Mwanza, DSM na Tabora nakuhakikishia Mbeya hawapo.

Unaweza ukabisha kufurahisha roho yako lakini Mbeya hata Mzee mwenye miaka 80 anajitegemea kwa chakula. Ardhi ya Mbeya ni nzuri na watu wa Mbeya ujasiriamali ni kama itikadi yao, huwezi kukuta vijana wamekaa vijiweni bila kazi. Mwiko, wako proud kwa hilo na wala hawatetereki.
 
Hakuna isiyokuwa na uhitaji.
Kama wewe hujawahi kuwaona Basi Ni wewe,ila nakwambia mbeya masikini wapo,wenye uhitaji wa huduma za afya,hasa wazee ni wengi..na Mimi Ni mwana mbeya nimekulia mbeya,nimezaliwa mbeya.

Acheni siasa za kipumbavu basi..yaani mtu kutoa huduma za afya nyie mnaumia Sana!??
Hizo ni roho za kipepo

SI mfuasi wa Tulia lakini katika hili nampongeza kwa kusaidia wazee wangu Mimi Kama mwana mbeya.
Muache tabia ya kuponda kila kitu,upinzani mnafeli hapo na kwa akili hizi za kipumbavu hamji kupata nchi Hadi mmeziacha.
Maskini wa sampuli ya omba omba wagogo na wasukuma waliojaa Dodoma, Mwanza, DSM na Tabora nakuhakikishia Mbeya hawapo.

Unaweza anabisha kufurahisha roho yako lakini Mbeya hata Mzee mwenye miaka 80 anajitegemea kwa chakula. Ardhi ya Mbeya ni nzuri na watu wa Mbeya ujasiriamali ni kama itikadi yao, huwezi kukuta vijana wamekaa vijiweni bila kazi. Mwiko, wako proud kwa hilo na wala hawatetereki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saint anne, True kuna kipindi inabidi siasa ziwekwe kando maana hata kama anafanya kwa nia mbaya lakini bado kafanya kitu chema. Hao wazee watasaidiwa kupata matibabu ambacho ni kitu kikubwa.

Kuna baadhi ya watu hata vijijini wanapasikia tu na hawajui hawa wazee wanapitia mangapi. Just ignore them
 
True kuna kipindi inabidi siasa ziwekwe kando maana hata kama anafanya kwa nia mbaya lakini bado kafanya kitu chema. Hao wazee watasaidiwa kupata matibabu ambacho ni kitu kikubwa.

Kuna baadhi ya watu hata vijijini wanapasikia tu na hawajui hawa wazee wanapitia mangapi. Just ignore them
Wanakera na siasa za kijinga.
Kila mahala Ni kupinga tu Kama mazezeta hivi.
Mimi ninachoshukuru wazee wangu wa mbeya wamepata bima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom