Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Wabongo aisee siwawezi.
Kwa hiyo Iraq na Lithuania ni nchi za Magharibi?
 
1. Inaonyesha ana ugeni na mataifa yanayojielewa, alitakiwa kueleza ni kwanini aliitembelea Russia na sio Ukraine, ni swali la kawaida sana na sio shambulizi.

2. Badala yake amejibu kama kada wa ccm

3. Emeenda IPU na mentality ya ki ccm hovyo sana
 
Hivi Utaratibu wa kumvua uongozi Rais wa IPU ukoje?
 
Pamoja na hiyo heated debate, ikamfanya dada wa watu kuwa tempered, kajitahidi sana kuwabwatukia weupe. Hawa watu kuna mda wanahitaji uwaonyeshe kuwa zimefika hapa¹...

..hata hivyo nampa hongera!
 
Tulia yupo vizuri kimataifa. Angeacha kuwa upande wa Serikali na kuwa upande wa wananchi angekuwa Spika mzuri na angeheshimika sana nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…