Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Wazungu wamchokoza Dk .Tulia awajibu kibabe kwa hoja nzito anastahili kuwa katibu mkuu umoja wa mataifa

Yuko vizuri mno uspika hakuupata kwa bahati mbaya msikilize wazungu walivyompiga maswali na alivyojibu ni kichwa hasa

View: https://youtu.be/VQzcl1p-fkE?si=OL9zbZ5mIIZl5zOT

Naona dada yangu bado hajazijua global politics vizuri na inabidi aongeze uanadiplomasia zaidi.
Hapo, angeweza kurudia majibu aliyokwishatoa bila ku-react namna hiyo, kitu ambacho kinaonesha alikuwa emotional and defensive.
 
Rango katamani angekuwepo na sugu ampe sa uso
 
Attachments

  • Screenshot_20241016_135043_Google.jpg
    Screenshot_20241016_135043_Google.jpg
    170.8 KB · Views: 3
Wazungu wamchokoza Dk .Tulia awajibu kibabe kwa hoja nzito anastahili kuwa katibu mkuu umoja wa mataifa

Yuko vizuri mno uspika hakuupata kwa bahati mbaya msikilize wazungu walivyompiga maswali na alivyojibu ni kichwa hasa

View: https://youtu.be/VQzcl1p-fkE?si=OL9zbZ5mIIZl5zOT

𝔸𝕞𝕖𝕛𝕚𝕓𝕦 𝕧𝕚𝕫𝕦𝕣𝕚 𝕚𝕝𝕒 𝕙𝕒𝕜𝕦𝕜𝕦𝕨𝕒 𝕟𝕒 𝕙𝕒𝕛𝕒 𝕪𝕒 𝕜𝕦𝕡𝕒𝕟𝕚𝕔
 
Not bad,
Akiwa hapa tumpasue vya kutosha, ila huko kwa watu tumuunge mkono...,
Watu weusi duniani tunanyanyaswa sana.., Wacha awapige spanna...

She has tried to defend herself well.... Go ahead Tulia.
 
Ni kwa heshima ya Jumuia ya Kimataifa kwa Tanzania tu si vinginevyo!
Dr.Asha Rose Migiro aliteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN mwaka 2007! Sijui alimalizaje huko(fuatilia mwenyewe)!
Hata huyu nadhani amepewa nafasi hii kwa heshima tu lakini si vinginevyo!
 
Amejibi vizuri lakini amepaniq.....just compose yourself Tulia..
 
Amejitahidi kuongea kiingereza vizuri

INgawa hiyo kupanic na kujisifia imeonyesha Kuna kitu hakiko sawa
Na wabunge wenzake wamemshutukia
 
Tulia smart sana ila anapanic , siku nyingine atajiandaa zaidi.

..maswali ya kawaida kabisa, na kama kiongozi lazima uyategemee.

..sasa Tulia amepandwa hasira kwasababu ya mazoea mabaya ya kutokuulizwa maswali, au kubinya maswali, iliyotoka nayo ktk bunge la Tanzania.

..katika bunge la Tanzania Spika TULIA ni MUNGU-MTU, lakini ktk bunge la dunia ni SPIKA.
 
Back
Top Bottom