Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
KInacho kushangaza nini au tumuulize Lucas?Hata nyie akina Choice mnaegemea upande wa mabeberu?Basi kumekucha hapo inawezekana macho yenu yameisha usingizi na mmeyaona ya ndani ya bunge lenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KInacho kushangaza nini au tumuulize Lucas?Hata nyie akina Choice mnaegemea upande wa mabeberu?Basi kumekucha hapo inawezekana macho yenu yameisha usingizi na mmeyaona ya ndani ya bunge lenu.
Anafikiri anamjibu kibajaji!Asidhani kule ni Tanganyika, azibiti hisia zake
Katibu mkuu UN hachaguliwi Kama anavyochaguliwa rais wa visiwa vya komoro.tulia yuko vizuri sana, hopeful atakuwa katibu mkuu UN in future, bravo tulia
Spika wa IPU waliomchagua unadhani walipiga watoto?Katibu mkuu UN hachaguliwi Kama anavyochaguliwa rais wa visiwa vya komoro.
Kule wanapiga kura watu wazima sio watoto wa shule za msingi.
Kule hakuna wizi wa kura.
Kule wanaangalia history ya mtu.
Hakuna ni kuwapotezea watu muda ndio maana ka wa refer majibu ya huko nyumaNaona dada yangu bado hajazijua global politics vizuri na inabidi aongeze uanadiplomasia zaidi.
Hapo, angeweza kurudia majibu aliyokwishatoa bila ku-react namna hiyo, kitu ambacho kinaonesha alikuwa emotional and defensive.
Hakuna ni kuwapotezea watu muda ndio maana ka wa refer majibu ya huko nyuma
Ujue kuna wengine walikuwa wanayajua ya huko nyuma aliyojibu ingekuwa wastage of time.kwa majority wanaojua alichoongea huko nyuma .
Kille sio kikao cha uswahilini unaanza kama nilivyosema juzi narudia tena yote niliyosema watu wengine wangeondoka zao kikaoni
Amejibu vizuri sema tone yake unaweza kuonekana amepanic na hapo ni mpaka wale wanaojua
Hii lugha bado sana
And and and nyingiiiii
Umemsikiliza? Utetezi wake ulikuwa na hoja?tulia yuko vizuri sana, hopeful atakuwa katibu mkuu UN in future, bravo tulia
Ipo siku watamuuliza yanayoendelea Tanzanie.My Take
Kuwa tempared na Unaongea kizungu hakuleti ukakasi kama kwa Kiswahili.
Tulia ajifunze kuzuia hasira zake vinginevyo atakuja kupayuka kubwa kuliko 🤣🤣🤣🤣