Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

Iliwezekanaje mtu wa namna ile akawa Speaker?

Au uongozi siku hizi wanapeana kulingana na kiwango cha uhuni na ukosefu wa maadili ??
Ukiwa mhuni mkubwa unapewa cheo kikubwa kikubwa ili uongoze wahuni wadogo?
Tulia alipitia mchakato akashinda.
Ilipotokea fursa ya Tanzania kupata Spika mpya ili kupata Spika bora tuliwashauri Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?
Kisha ukafuata mchakato wa kuchagua Spika mpya Wajue the Top 10 wa CCM watakaotoa, the top 5, top 3 na the best Spika. Angalizo, si lazima the best ndiye awe Spika, bali the chosen one!
Ndipo Tulia akapita Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!
P
 
Kwa uelewa wako mkubwa wa siasa za Tanzania na mahitaji ya nchi Tulia ana sifa hata moja ya kufaa kuwa Spika wa bunge la nchi ukiondoa ubunge na taaluma yake tu ?
 
Hivi tumefikaje hapa hadi kufikia kuona uongozi ni jambo jepesi kiasi kwamba kila mtu tu anaweza kuigiza kuongoza ?

Au tulishapoteza mwelekeo kama nchi ??
 
Hivi tumefikaje hapa hadi kufikia kuona uongozi ni jambo jepesi kiasi kwamba kila mtu tu anaweza kuigiza kuongoza ?

Au tulishapoteza mwelekeo kama nchi ??
Muelekeo ulipotea tangu 2015
 
Kwa uelewa wako mkubwa wa siasa za Tanzania na mahitaji ya nchi Tulia ana sifa hata moja ya kufaa kuwa Spika wa bunge la nchi ukiondoa ubunge na taaluma yake tu ?
Hana sifa hiyo ndiyo maana aliteuliwa na magogoni
 
Watanzania wana hasira naye sana
Hatuna sababu ya kuendelea kumlaumu mtu aliyekufa tutatokaje hapa tulipo ndiyo unapaswa kuwa mjadala.

Kuendelea kumlaumu mfu ni kukosa adabu na kazi ya kufanya.
 
Spika kijana Tulia Ackson yuko sahihi kabisa. CCM bado ipo sana.
 
Hatuna sababu ya kuendelea kumlaumu mtu aliyekufa tutatokaje hapa tulipo ndiyo unapaswa kuwa mjadala.

Kuendelea kumlaumu mfu ni kukosa adabu na kazi ya kufanya.
Tutaendelea kumlaumu sana jiwe hadi kihama
 
Hana sifa hiyo ndiyo maana aliteuliwa na magogoni
Tulia amekuwa naibu speaker baada ya mzilankende muyango kufariki, kabla ya hapo alikuwa naibu ilikuwaje mpaka akafika hapo wakati hana sifa ?
 
Paskali, najaribu kukuelewa. Unachomaanisha ni kwamba, KAMWE CCM HAITAKUBALI TUME HURU YA UCHAGUZI. Kwa hiyo mfumo itaendelea kuwa huu huu.
Nini kifanyike ili zauti ya Watanzania iheshimiwe kwenye Sanduku la Kura?
 
Ujeuri na viburi walivyonavyo ni kutokana vyombo vya dola kuwa nyuma yao kuwafanyia dhuluma na ukatili wananchi lakini ajue hakuna kilichokuwa na mwanzo kikakosa kuwa na mwisho.
Wahispaniola Wana msemo wao usemao "todo tienne su final" kiswahili maana yake Kila kitu kina mwisho wake. Namwambia tulia kuwa katika muktadha huu hakuna exception to that rule.
 
Ni kweli Kwa kuwa hakuna wa kumwachia Dola upinzani bado haujapevuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…