Billionaire wa Betting
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 1,086
- 2,179
Kuna uzao utakuja miaka 100 ijayo unaweza kuitoa tu, ccm ni chama changu lakini siasa za kipuuzi siziungi mkono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli alituharibia sana utawala bora katika Taifa hiliKatika nchi serious Tulia hana sifa ya kuwa kiongozi, huu uongozi mkubwa wa kitaifa iliwezekanaje akaupata ?
Tulia alipitia mchakato akashinda.Iliwezekanaje mtu wa namna ile akawa Speaker?
Au uongozi siku hizi wanapeana kulingana na kiwango cha uhuni na ukosefu wa maadili ??
Ukiwa mhuni mkubwa unapewa cheo kikubwa kikubwa ili uongoze wahuni wadogo?
Kwa uelewa wako mkubwa wa siasa za Tanzania na mahitaji ya nchi Tulia ana sifa hata moja ya kufaa kuwa Spika wa bunge la nchi ukiondoa ubunge na taaluma yake tu ?Tulia alipitia mchakato akashinda.
Ilipotokea fursa ya Tanzania kupata Spika mpya ili kupata Spika bora tuliwashauri Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?
Kisha ukafuata mchakato wa kuchagua Spika mpya Wajue the Top 10 wa CCM watakaotoa, the top 5, top 3 na the best Spika. Angalizo, si lazima the best ndiye awe Spika, bali the chosen one!
Ndipo Tulia akapita Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!
P
Hivi tumefikaje hapa hadi kufikia kuona uongozi ni jambo jepesi kiasi kwamba kila mtu tu anaweza kuigiza kuongoza ?Tulia alipitia mchakato akashinda.
Ilipotokea fursa ya Tanzania kupata Spika mpya ili kupata Spika bora tuliwashauri Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?
Kisha ukafuata mchakato wa kuchagua Spika mpya Wajue the Top 10 wa CCM watakaotoa, the top 5, top 3 na the best Spika. Angalizo, si lazima the best ndiye awe Spika, bali the chosen one!
Ndipo Tulia akapita Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!
P
Hivi watanzania bado tunasababu ya kumlaumu mtu aliyekufa ???Magufuli alituharibia sana utawala bora katika Taifa hili
Muelekeo ulipotea tangu 2015Hivi tumefikaje hapa hadi kufikia kuona uongozi ni jambo jepesi kiasi kwamba kila mtu tu anaweza kuigiza kuongoza ?
Au tulishapoteza mwelekeo kama nchi ??
Watanzania wana hasira naye sanaHivi watanzania bado tunasababu ya kumlaumu mtu aliyekufa ???
Tunaweza vipi kuruhusu wahuni kuwa viongozi??
Sasa tunarudi vipi kwenye reli ili wahuni watoke kwenye chain za uongozi ??Muelekeo ulipotea tangu 2015
Hana sifa hiyo ndiyo maana aliteuliwa na magogoniKwa uelewa wako mkubwa wa siasa za Tanzania na mahitaji ya nchi Tulia ana sifa hata moja ya kufaa kuwa Spika wa bunge la nchi ukiondoa ubunge na taaluma yake tu ?
Kama taifa tulipotezwaMagufuli alituharibia sana utawala bora katika Taifa hili
Hatuna sababu ya kuendelea kumlaumu mtu aliyekufa tutatokaje hapa tulipo ndiyo unapaswa kuwa mjadala.Watanzania wana hasira naye sana
Hongera sanaKuna uzao utakuja miaka 100 ijayo unaweza kuitoa tu, ccm ni chama changu lakini siasa za kipuuzi siziungi mkono
Tutaendelea kumlaumu sana jiwe hadi kihamaHatuna sababu ya kuendelea kumlaumu mtu aliyekufa tutatokaje hapa tulipo ndiyo unapaswa kuwa mjadala.
Kuendelea kumlaumu mfu ni kukosa adabu na kazi ya kufanya.
Ipo kaburiniSpika kijana Tulia Ackson yuko sahihi kabisa. CCM bado ipo sana.
Tulia amekuwa naibu speaker baada ya mzilankende muyango kufariki, kabla ya hapo alikuwa naibu ilikuwaje mpaka akafika hapo wakati hana sifa ?Hana sifa hiyo ndiyo maana aliteuliwa na magogoni
Paskali, najaribu kukuelewa. Unachomaanisha ni kwamba, KAMWE CCM HAITAKUBALI TUME HURU YA UCHAGUZI. Kwa hiyo mfumo itaendelea kuwa huu huu.Naunga mkono hoja.
Kuna watu tukiwaambia ukweli kuhusu CCM kutawala milele, hawaamini, na kwa vile maneno hayo ameyasema Tulia, bado kuna watu hawataamini hadi maneno hayo ya CCM kutawala milele Tanzania, yatakaposemwa na nanilii!. Sii wengi wanaojua kuwa kauli huumba, ila pia ukitoa kauli mbaya kama kuwatukana wazazi, kauli hiyo inasababisha one to be cursed!. Kauli kama hii ya CCM kutawala milele huko nyuma iliwahi kutolewa na kiongozi fulani who, very unfortunately, he was cursed!. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. humo nilisema "Wanabodi,
Kuna wengi wanadhani siasa ni kupiga blah blah tuu, hivyo kwao, kila kinachosemwa na wanasiasa, wanakiona kama ni blah blah!, no!. Siasa sio blah blah tuu, japo blah blah zipo, ila pia kuna ukweli bayana, dhahir, shahir!. Siasa ni sayansi, social science, hivyo sayansi ya siasa ni political science, inafuata kanuni zile zile za kisayansi za Newton's laws of motion, ile kanuni ya "a body in motion" or
" a static body", itaendelea kubaki hivyo hivyo milele, hadi kutokea nguvu nyingine itakayoibadilisha, hivyo kwa hali hii ilivyo sasa, CCM is the body in motion, itaendelea kutawala milele, kwa sababu watu wenye uwezo wa Kimungu, wameishaona kuwa kwa Tanzania, hakuna kabisa uwezekano wa kutokea nguvu nyingine ya kuizuia CCM isitawale milele nchi yetu ya Tanzania, hivyo CCM, itatawala milele!.
Japo kila lenye mwanzo, huwa lina mwisho, na CCM kama chama, ina mwanzo hivyo ni lazima nayo iwe na mwisho, unless CCM ndie Mungu mwenyewe, ambaye Yeye ndiye Pekee Alfa na Omega hivyo CCM hii iliyopo sasa nayo ni CCM Alfa na Omega, haina mwisho, hivyo pia katika utawala wa Tanzania, CCM ndio alfa na omega wa siasa zetu, ndicho chama pekee chenye hati miliki ya kuitawala Tanzania milele!, huu ni ukweli bayana ambao lazima sote, tuupokee, tuukubali na tuutekeleze. Wale wote wasioukubali ukweli huu, ni kweli kabisa watapata taabu sana!.
Jee Umilele wa CCM Kutawala Tanzania Milele, Unatokana na Nini?.
Umilele wa CCM kuitawala Tanzania, unatokana na mungu wa CCM (not Mungu Baba) kuiteua CCM na kuipatia hati miliki ya kuitawala Tanzania milele na milele, ndio maana katika baadhi ya makala zangu za nyuma, niliwahi kushauri tuifute ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, tuifute ruzuku kwa vyama vya siasa, Tanzania turejee kuwa nchi ya chama kimoja cha milele, CCM.
Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi
NB: Baadhi ya kauli kama hizi, zinasababisha curses, msije kushangaa watoa kauli kama hizi kuja kuwa cursed na kuchomoka kabla ya wakati kwa sababu neno milele ni mamlaka ya Mungu mwenyewe!.
Kidumu Milele Chama Cha Mapinduzi.
Pasco"
P
Wahispaniola Wana msemo wao usemao "todo tienne su final" kiswahili maana yake Kila kitu kina mwisho wake. Namwambia tulia kuwa katika muktadha huu hakuna exception to that rule.Ujeuri na viburi walivyonavyo ni kutokana vyombo vya dola kuwa nyuma yao kuwafanyia dhuluma na ukatili wananchi lakini ajue hakuna kilichokuwa na mwanzo kikakosa kuwa na mwisho.
Ni kweli Kwa kuwa hakuna wa kumwachia Dola upinzani bado haujapevukaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho kikaruhusu nafasi ya kuachia kuitawala nchi kwakuwa imejiwekea mizizi imara katika kuwatumikia wananchi wake.
Dkt. Tulia ameyasema hayo leo Februari 4, 2023 akiwa Visiwani Zanzibar kwa ziara ya kichama ambapo alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 46 ya Chama hicho iliyofanyika katika Mkoa wa kusini Unguja.
Amesema kuwa ni wakati sahihi kwa wanachama wa chama hicho hususani vijana kuendelea kukipigania na kuwapigania Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti wa Chama taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuyasemea mazuri anayoyafanya kwa nchi.
“Mwana CCM hupaswi kukaa kinyonge hata siku moja, kote Tanzania bara na visiwani kuna miradi ya ujenzi wa shule kila kona, miundombinu ya barabara, zahanati, vituo vya afya n.k haya yote ni mafanikio ya kujivunia sasa unakaaje kinyonge? tunaposema kwamba chama hiki hakitaachia dola tunamaanisha” Amesisitiza Dkt. Tulia.
Chanzo: Clouds Media