Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Waswahili wanasema ukizoea vya kunyonga basi siku ukiambiwa kuchinja utaona unaonewa.
Sisi wananchi wa Mbeya hatujawahi kuikubali CCM tangu tulipopatiwa option ya nini cha kuchagua kati ya chama cha viongozi na chama cha watawala.
Tulia jitazame na ujitafakali kwa hiyo nafasi yako ndani ya Jimbo la Mbeya.
Hatujawahi kuichagua CCM ambao ni watawala badala ya viongozi.
Kwa uthibitisho tazama video hii ndiyo utajua kuwa Jimbo la Mbeya hatufikirii kuwa na WATAWALA na badala yake tunahitaji VIONGOZI.
CDM ndiyo chama chenye viongozi wa wananchi