Tulia Ackson (Mbunge wa Mbeya Mjini) Roho inamsuta

Waswahili wanasema ukizoea vya kunyonga basi siku ukiambiwa kuchinja utaona unaonewa.

Sisi wananchi wa Mbeya hatujawahi kuikubali CCM tangu tulipopatiwa option ya nini cha kuchagua kati ya chama cha viongozi na chama cha watawala.

Tulia jitazame na ujitafakali kwa hiyo nafasi yako ndani ya Jimbo la Mbeya.

Hatujawahi kuichagua CCM ambao ni watawala badala ya viongozi.

Kwa uthibitisho tazama video hii ndiyo utajua kuwa Jimbo la Mbeya hatufikirii kuwa na WATAWALA na badala yake tunahitaji VIONGOZI.

CDM ndiyo chama chenye viongozi wa wananchi

View attachment 1819046
Watani zangu hawajawahi kuniangusha sasa Msigwa wajibu ndg zetu kuwa na Iringa ipo na Mwenyekiti
 
Nisaidie namna ya kuiona hii attachment. Kila nikigusa inafungua page mpya badala yakufungua video/picha
Chukua simu yako itie kwenye povu la sabuni haafu toa fasta futa utaiona vizuri kabisa kabisa
 
Eti Naye Tulia alishinda kwa kishindo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwendazake ametuachia vituko kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona eeh.
Ndio sababu Sugu anasema CCM wana KURA, yeye ana WANANCHI. Tafakari hio sentensi
 
Ukifika wakati wa uchaguzi mnagongwa tena....
hawa jamaa mapimbi kweli
 
Ila yule Dada anaongoza kwa kujipiga picha na kutupia picha hizo mitandaoni,sijajua anatatizo gani
Hivi hajajua kama ni kiongozi. Hana tofauti na akina Joti,Mwaisa, Mkojani nk

Tulia hebu tulia dada,mambo ya picha nyingi yashakutupa mkono bibi
 
Anajiona ni mrembo
 
2025 sio mbali...mtatuthibutishia watu wa Mbeya
 
Waswahili wanasema ukizoea vya kunyonga basi siku ukiambiwa kuchinja utaona unaonewa.

Sisi wananchi wa Mbeya hatujawahi kuikubali CCM tangu tulipopatiwa option ya nini cha kuchagua kati ya chama cha viongozi na chama cha watawala.

Tulia jitazame na ujitafakali kwa hiyo nafasi yako ndani ya Jimbo la Mbeya.

Hatujawahi kuichagua CCM ambao ni watawala badala ya viongozi.

Kwa uthibitisho tazama video hii ndiyo utajua kuwa Jimbo la Mbeya hatufikirii kuwa na WATAWALA na badala yake tunahitaji VIONGOZI.

CDM ndiyo chama chenye viongozi wa wananchi

View attachment 1819046
Mbona hawajavaa barakoa??
 
Back
Top Bottom