Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

CCM Taifa na wanaccn wote tumeamua kuwa Fomu ya Urais ni moja tu kwaajili ya Rais Samia , kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka pamoja na kukidhi matarajio ya watanzania. Lakini kwa upande wa Mbeya ni kuwa Mbeya nzima CCM na wasio Wana CCM wameamua na kuomba kwa kupiga magoti kuwa Fomu ya ubunge iwe moja tu kwa ajili ya Dada wa Taifa na Rais wa IPU dkt Tulia Acksoni Mwansasu,kutokana na kutatua kero mbalimbali za wanambeya na kuwaleta madeni ndani ya muda mfupi.sasa Mbeya inafanana na kuwa. Na taswira ya jiji tofauti na wakati ule jiji linaongozwa na yule muhuni sugu.
Hizo ni kauli tu za kisiasa. Mambo ya fomu moja ni udikteta. Haya mambo huwa yanaanza hivihivi, mwisho wa siku kila mbunge na diwani nchini atataka itolewe fomu moja tu kwa ajili yake.
 
ngoja mkeka wa lami njia nne kutoka igawa mkoani Mbeya mpaka Tunduma mkoani Songwe wenye urefu wa 237.9 utandikwe ndio akili yako na yule muhuni na tapeli wa kisiasa Sugu akili itawakaa sawa.
Wewe mburura kumbe unashabikia CCM hata elimu huna? Igawa hadi Tunduma kuna majimbo kama 5. Ina maana kama wabunge ndiyo wanaleta barabara basi ni wabunge 5, siyo huyo unayemuabudu wewe.

Ila kwa taarifa yako mipango ya barabara hiyo imechakatwa muda mrefu kbla hata Betina hajaja
 
Sugu ndio amechokwa kama dekio. Dkt Tulia Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya wana mbeya na kubembelezwa na wanambeya ili wamchangie pesa ya kuchukulia Fomu ya ubunge.

Kila mwana Mbeya ameona namna alivyogusa maisha ya watu.amejengea watu nyumba.ametio maelfu ya bima za afya bure kabisa kwa wanambeya,mfano mwaka huu akiwa bima za afya bure kabisa elfu sita wakati mwaka jana alitoa elfu tatu.

Amejenga kwa pesa zake mwenyewe mabweni ya wanafunzi kama alivyofanya pale katika sekondari ya Samora.

Amegawa vitabu kwa shule zote za jiji la mbeya.

Wakati wa ubunge wa sugu yeye alikuwa anafanya Vitendo vya kihuni huni tu bungeni kama vile kuonyesha vidole vinavyoashiria matusi akiwa bungeni. Sugu alikuwa ni vuta bangi sana.hakuna mwana Mbeya wakumpa tena ubunge muhuni kama sugu.
Wewe mtu kwa kuandika PUMBA sikuwezi. Nimeamini upumbavu nao ni kipaji
 
Hizo ni kauli tu za kisiasa. Mambo ya fomu moja ni udikteta. Haya mambo huwa yanaanza hivihivi, mwisho wa siku kila mbunge na diwani nchini atataka itolewe fomu moja tu kwa ajili yake.
Wala siyo udikteta hata kidogo bali ni kuonyesha mapenzi yetu na imani yetu kubwa kwa dkt Tulia Acksoni Mwansasu kuendelea kuliongoza jimbo la Mbeya mjini. Ametimiza na kukidhi matarajio ya wana mbeya,amenya kile ambacho alitumwa na wanambeya .amekata kiu ya wananchi.

Hivyo Fomu moja ni kumaanisha kuwa tunahitaji utumishi wake kwa awamu nyingine tena ili aendelee pale alipoishia na kuendeleza kazi nzuri na njema aliyokwisha kuianza kama vile ugawaji wa bima za afya bure,ugawaji wa vitabu kwa shule zote ndani ya jiji la mbeya ,ujenzi wa mabweni kwa ajili ya watoto wa kike,ujenzi wa vituo vya afya pamoja na zahanati, usambazaji wa maji safi na salama hadi mengine yatiririkage barabarani na mengine mengi ambayo Anaendelea kuyatekeleza kwa kasi.
 
Wewe mburura kumbe unashabikia CCM hata elimu huna? Igawa hadi Tunduma kuna majimbo kama 5. Ina maana kama wabunge ndiyo wanaleta barabara basi ni wabunge 5, siyo huyo unayemuabudu wewe.

Ila kwa taarifa yako mipango ya barabara hiyo imechakatwa muda mrefu kbla hata Betina hajaja
Sikiliza wewe chizi.ni dada wa Taifa kwa kutumia ushawishi wake ndio ulifanikisha upatikanaji na kutengwa pesa kwa ajili ya barabara hiyo.lengo likiwa ni kupanua barabara ,kupunguza na kumaliza ajali hususani eneo la mlima iwambi kutokea mbalizi ,kuondoa foleni hasa maeneo ya mjini yaani kuanzia mbalizi ,iwambi,iyunga,nzovwe,Kandege,mafiati, Mwanjelwa,kabwe,soweto,mama John,sai mpaka uyole huko.

Ni nguvu na ujenzi wa hoja wa dkt Tulia pamoja na kushirikiana vizuri na serikali ndiko kumewezesha upatikanaji wa barabara hiyo.

Naamini umenielewa vyema japo hunaga akili kichwani mwako.
 
Hakuna mtu mwenye uwezo wala ubavu wala nguvu ya kuweza kumtoa Dkt Tulia pale Mbeya mjini. Dkt Tulia ndiye mwenye hati miliki na jimbo la Mbeya mjini aliyopewa na wanambeya wenyewe. Baada ya kuchoshwa kuongozwa na yule muhuni wa CHADEMA sugu aliyepeleka ujinga wake bungeni na ambaye alikuwa hajitambui wala kutambua majukumu yake kama mbunge.

Dkt Tulia ameiheshimisha sana Mbeya na Tanzania nzima kwa ujumla wake baada ya Dunia nzima kumchagua kwa kishindo kuwa Rais wa IPU
Kama TULIA ni bora kuliko wote, KWA NINI ANAOGOPA ushindani.

Leo hii Yanga ni bingwa wa NBC Premier league. Ku Prove ubora wa Yanga hawazikatazi timu zingine kwenda uwanjani, instead wanaziacha ziingie uwanjani na kuzifunga.

Kama CCM watamsimamisha Tulia, mgombea yeyote kutoka UPINZANI na siyo lazima Sugu wa CHADEMA atamshinda Tulia asubuhi na mapema.

Na mwaka 2025 Magufuli hayupo aliyekuwa anaweka wabunge wote wa majimbo anaowataka.

Niwajulishe tu Kinana na Nchimbi kuwa Mbeya HAKUNA WAJINGA. Kama watamsimamisha Tulia mwaka 2025 jimbo la Mbeya ni la UPINZANI.
 
Yule muhuni sugu aliharibu jiji na kulifanya kuwa uwanja wa wavuta bangi na wahuni.sasa wanambeya wameridhishwa na utumishi wa dkt Tulia na namna alivyowaletea maeneo na kugusa maisha yao.
Sijawahi kuona MNYIHA Mpumbavu kama wewe
 
Kama TULIA ni bora kuliko wote, KWA NINI ANAOGOPA ushindani.

Leo hii Yanga ni bingwa wa NBC Premier league. Ku Prove ubora wa Yanga hawazikatazi timu zingine kwenda uwanjani, instead wanaziacha ziingie uwanjani na kuzifunga.

Kama CCM watamsimamisha Tulia, mgombea yeyote kutoka UPINZANI na siyo lazima Sugu wa CHADEMA atamshinda Tulia asubuhi na mapema.

Na mwaka 2025 Magufuli hayupo aliyekuwa anaweka wabunge wote wa majimbo anaowataka.

Niwajulishe tu Kinana na Nchimbi kuwa Mbeya HAKUNA WAJINGA. Kama watamsimamisha Tulia mwaka 2025 jimbo la Mbeya ni la UPINZANI.
Fomu ya ubunge kwa Mbeya mjini ni moja tu kwa ajili ya dada wa Taifa na Rais wa IPU msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini na fahari ya wana mbeya Mheshimiwa dkt Tulia Acksoni Mwansasu. Huyo ndiye mgombea kipenzi cha wana Mbeya na aliyeiteka mioyo ya wana mbeya na anayesubiliwa kwa hamu ili apewe kura za ndio kwa kishindo kama shukurani kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watu.
 
Hakuna mtu mwenye uwezo wala ubavu wala nguvu ya kuweza kumtoa Dkt Tulia pale Mbeya mjini. Dkt Tulia ndiye mwenye hati miliki na jimbo la Mbeya mjini aliyopewa na wanambeya wenyewe. Baada ya kuchoshwa kuongozwa na yule muhuni wa CHADEMA sugu aliyepeleka ujinga wake bungeni na ambaye alikuwa hajitambui wala kutambua majukumu yake kama mbunge.

Dkt Tulia ameiheshimisha sana Mbeya na Tanzania nzima kwa ujumla wake baada ya Dunia nzima kumchagua kwa kishindo kuwa Rais wa IPU
 
Attachments

  • FB_IMG_1709186964380.jpg
    FB_IMG_1709186964380.jpg
    30.2 KB · Views: 2
Kwani Kuna tatizo gani mkuu hilo swala liko ndani ya chama mimi sioni shida akizungumza hivyo.
 
Wewe mburura kumbe unashabikia CCM hata elimu huna? Igawa hadi Tunduma kuna majimbo kama 5. Ina maana kama wabunge ndiyo wanaleta barabara basi ni wabunge 5, siyo huyo unayemuabudu wewe.

Ila kwa taarifa yako mipango ya barabara hiyo imechakatwa muda mrefu kbla hata Betina hajaja
Huyo kiazi Mkuu na hajui kama hizo barabara zinazojengwa kwa mikopo ya mabeberu atalipa mpaka na vitukuu vyake
 
Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini.

Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu mmoja akihutubia mkutano wa CCM Mbeya huku Spika wa Bunge Tulia Ackson ambaye ndiye Mbunge wa sasa wa Mbeya Mjini. Mtu huyo ameongea yaleyale yaliyotamkwa na Mwenyekiti wa CCM Mbeya.

Ni wazi hizi ni siasa chafu ambazo ziko kinyume na Katiba ya JMT na hazina tija kwa wananchi wa Mbeya.

Kama ni kweli Tulia Ackson ameifanyia Mbeya mambo makubwa kwa nini anaogopa ushindani?
Sikuwahi kumsikia Profesa Mwandosya akifanya haya. Nakumbuka Mwandosya alifuatwa agombee, alipokubali wazee walikaa na vyama vyote na kuwaambia maoni yao kwamba kwa mahitaji ya jimbo lao, wameamua badala ya watu kuchukua form badala yake wao wametafuta mtu wanayeina atafaa, wakawatajia mtu huyo wakawauliza je mnamkunali au tkubaliane apite bila kupingea au utaratibu uendelee kama kawaida?
Wagombea kutoka vyama vyote wakaona huyu mtu atawafaa kwa maslahi ya Jimbo, wakavishirikisha vyama vyao, na wote wakakubaliana kutochukua form na hivyo Mwandosya kwa vipindi vyote alipita bila kupungwa, lakini hatukuwahi kushuhudia kampeni kama hizi na za Akina Majaliwa.
 
Huwa nikiiangalia mbeya ilivyo..nabaki kusikitika tu..siasa na viongozi wabinafsi kama hawa ndio wanaudidimiza huu mkoa..leo mbeya huwezi ilinganisha na Dodoma au morogoro.
 
Back
Top Bottom