Sikiliza wewe chizi.ni dada wa Taifa kwa kutumia ushawishi wake ndio ulifanikisha upatikanaji na kutengwa pesa kwa ajili ya barabara hiyo.lengo likiwa ni kupanua barabara ,kupunguza na kumaliza ajali hususani eneo la mlima iwambi kutokea mbalizi ,kuondoa foleni hasa maeneo ya mjini yaani kuanzia mbalizi ,iwambi,iyunga,nzovwe,Kandege,mafiati, Mwanjelwa,kabwe,soweto,mama John,sai mpaka uyole huko.
Ni nguvu na ujenzi wa hoja wa dkt Tulia pamoja na kushirikiana vizuri na serikali ndiko kumewezesha upatikanaji wa barabara hiyo.
Naamini umenielewa vyema japo hunaga akili kichwani mwako.