Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

Leta kapicha akiwa kwenye mapembe. Afukuzwe kwakanisa kama nimshirikina
Huyo hapo Tulia na majeneza:
Screenshot_20240425_101439_Facebook.jpg
 
Umejizima data kama kawaida yako kwenye mambo serious.

Niko Mbeya, huyo hata CCM wenyewe hawamtaki. Wanaompigia debe ni machawa wake tu
Umtake au usimtake ndio Mbunge huyo.

Majungu Kwa Watu wa Mkoa wa Mbeya ni kawaida au wewe ni mgeni na Mbeya?
 
Msikilize vizuri tena. Wakili anaonya wanaotaka fomu moja kwa Tulia. Anapinga utaratibu huo
Kama huo utaratibu unafaa kwa rais kwa nini haufai kwa wabunge na madiwani?
 
Hata wakibisha vipi huyu kigagula wao atakuwa mgombea pekee wa CCM aliyepita kwa jimbo la Mbeya lakini kwenye Uchaguzi Mkuu hawezi kupita. Mbeya HAKUNA WAJINGA labda Lucas Mwashambwa peke yake. Japo Lucas siyo mwenyeji wa Mbeya bali ni wa Mbozi
Endelea kuweweseka .lakini kwa jimbo la Mbeya mjini hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kumtikisa wala kumpa shida Dada wa Taifa dkt Tulia Acksoni Mwansasu katika sanduku la kura. Atazoa na kukomba kura zote za ndio za wanambeya mapema kabisa.
 
Hakuna mtu mwenye hati miliki ya ubunge wowote hapa TANZANIA wewe mpumbavu wa Mbozi. Mbona unadhalilisha Wanyiha wote kwa mabandiko yako??
Dkt Tulia na dada wa Taifa kapewa hati miliki ya jimbo la Mbeya mjini ya kuendelea kuongoza kama mbunge baada ya kukata kiu ya wanambeya. Mbeya ni dkt Tulia na dkt Tulia ndio Mbeya yenyewe.
 

Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini.

Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu mmoja akihutubia mkutano wa CCM Mbeya huku Spika wa Bunge Tulia Ackson ambaye ndiye Mbunge wa sasa wa Mbeya Mjini. Mtu huyo ameongea yaleyale yaliyotamkwa na Mwenyekiti wa CCM Mbeya.

Ni wazi hizi ni siasa chafu ambazo ziko kinyume na Katiba ya JMT na hazina tija kwa wananchi wa Mbeya.

Kama ni kweli Tulia Ackson ameifanyia Mbeya mambo makubwa kwa nini anaogopa ushindani?
Kidudu mtu anataka tena ubunge?bila polisi hashindi
 
Kidudu mtu anataka tena ubunge?bila polisi hashindi
Tulia aliwekwa Mbeya Mjini ma Magufuli. This time around itabidi akamfufue kwanza Magufuli ndiyo awe mbunge wa Mbeya Mjini
 
Back
Top Bottom