Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

Hizo ni kauli tu za kisiasa. Mambo ya fomu moja ni udikteta. Haya mambo huwa yanaanza hivihivi, mwisho wa siku kila mbunge na diwani nchini atataka itolewe fomu moja tu kwa ajili yake.
 
ngoja mkeka wa lami njia nne kutoka igawa mkoani Mbeya mpaka Tunduma mkoani Songwe wenye urefu wa 237.9 utandikwe ndio akili yako na yule muhuni na tapeli wa kisiasa Sugu akili itawakaa sawa.
Wewe mburura kumbe unashabikia CCM hata elimu huna? Igawa hadi Tunduma kuna majimbo kama 5. Ina maana kama wabunge ndiyo wanaleta barabara basi ni wabunge 5, siyo huyo unayemuabudu wewe.

Ila kwa taarifa yako mipango ya barabara hiyo imechakatwa muda mrefu kbla hata Betina hajaja
 
Wewe mtu kwa kuandika PUMBA sikuwezi. Nimeamini upumbavu nao ni kipaji
 
Hizo ni kauli tu za kisiasa. Mambo ya fomu moja ni udikteta. Haya mambo huwa yanaanza hivihivi, mwisho wa siku kila mbunge na diwani nchini atataka itolewe fomu moja tu kwa ajili yake.
Wala siyo udikteta hata kidogo bali ni kuonyesha mapenzi yetu na imani yetu kubwa kwa dkt Tulia Acksoni Mwansasu kuendelea kuliongoza jimbo la Mbeya mjini. Ametimiza na kukidhi matarajio ya wana mbeya,amenya kile ambacho alitumwa na wanambeya .amekata kiu ya wananchi.

Hivyo Fomu moja ni kumaanisha kuwa tunahitaji utumishi wake kwa awamu nyingine tena ili aendelee pale alipoishia na kuendeleza kazi nzuri na njema aliyokwisha kuianza kama vile ugawaji wa bima za afya bure,ugawaji wa vitabu kwa shule zote ndani ya jiji la mbeya ,ujenzi wa mabweni kwa ajili ya watoto wa kike,ujenzi wa vituo vya afya pamoja na zahanati, usambazaji wa maji safi na salama hadi mengine yatiririkage barabarani na mengine mengi ambayo Anaendelea kuyatekeleza kwa kasi.
 
Sikiliza wewe chizi.ni dada wa Taifa kwa kutumia ushawishi wake ndio ulifanikisha upatikanaji na kutengwa pesa kwa ajili ya barabara hiyo.lengo likiwa ni kupanua barabara ,kupunguza na kumaliza ajali hususani eneo la mlima iwambi kutokea mbalizi ,kuondoa foleni hasa maeneo ya mjini yaani kuanzia mbalizi ,iwambi,iyunga,nzovwe,Kandege,mafiati, Mwanjelwa,kabwe,soweto,mama John,sai mpaka uyole huko.

Ni nguvu na ujenzi wa hoja wa dkt Tulia pamoja na kushirikiana vizuri na serikali ndiko kumewezesha upatikanaji wa barabara hiyo.

Naamini umenielewa vyema japo hunaga akili kichwani mwako.
 
Kama TULIA ni bora kuliko wote, KWA NINI ANAOGOPA ushindani.

Leo hii Yanga ni bingwa wa NBC Premier league. Ku Prove ubora wa Yanga hawazikatazi timu zingine kwenda uwanjani, instead wanaziacha ziingie uwanjani na kuzifunga.

Kama CCM watamsimamisha Tulia, mgombea yeyote kutoka UPINZANI na siyo lazima Sugu wa CHADEMA atamshinda Tulia asubuhi na mapema.

Na mwaka 2025 Magufuli hayupo aliyekuwa anaweka wabunge wote wa majimbo anaowataka.

Niwajulishe tu Kinana na Nchimbi kuwa Mbeya HAKUNA WAJINGA. Kama watamsimamisha Tulia mwaka 2025 jimbo la Mbeya ni la UPINZANI.
 
Yule muhuni sugu aliharibu jiji na kulifanya kuwa uwanja wa wavuta bangi na wahuni.sasa wanambeya wameridhishwa na utumishi wa dkt Tulia na namna alivyowaletea maeneo na kugusa maisha yao.
Sijawahi kuona MNYIHA Mpumbavu kama wewe
 
Fomu ya ubunge kwa Mbeya mjini ni moja tu kwa ajili ya dada wa Taifa na Rais wa IPU msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini na fahari ya wana mbeya Mheshimiwa dkt Tulia Acksoni Mwansasu. Huyo ndiye mgombea kipenzi cha wana Mbeya na aliyeiteka mioyo ya wana mbeya na anayesubiliwa kwa hamu ili apewe kura za ndio kwa kishindo kama shukurani kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watu.
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1709186964380.jpg
    30.2 KB · Views: 2
Kwani Kuna tatizo gani mkuu hilo swala liko ndani ya chama mimi sioni shida akizungumza hivyo.
 
Huyo kiazi Mkuu na hajui kama hizo barabara zinazojengwa kwa mikopo ya mabeberu atalipa mpaka na vitukuu vyake
 
Sikuwahi kumsikia Profesa Mwandosya akifanya haya. Nakumbuka Mwandosya alifuatwa agombee, alipokubali wazee walikaa na vyama vyote na kuwaambia maoni yao kwamba kwa mahitaji ya jimbo lao, wameamua badala ya watu kuchukua form badala yake wao wametafuta mtu wanayeina atafaa, wakawatajia mtu huyo wakawauliza je mnamkunali au tkubaliane apite bila kupingea au utaratibu uendelee kama kawaida?
Wagombea kutoka vyama vyote wakaona huyu mtu atawafaa kwa maslahi ya Jimbo, wakavishirikisha vyama vyao, na wote wakakubaliana kutochukua form na hivyo Mwandosya kwa vipindi vyote alipita bila kupungwa, lakini hatukuwahi kushuhudia kampeni kama hizi na za Akina Majaliwa.
 
Huwa nikiiangalia mbeya ilivyo..nabaki kusikitika tu..siasa na viongozi wabinafsi kama hawa ndio wanaudidimiza huu mkoa..leo mbeya huwezi ilinganisha na Dodoma au morogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…