Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

Uwe na adabu, kuwahita viongozi wahuni, matapeli ni kujidalilisha mwenyewe na chama chako, hauna tofauti na wale wamama wenye domo chafu mtaani.
 
Uwe na adabu, kuwahita viongozi wahuni, matapeli ni kujidalilisha mwenyewe na chama chako, hauna tofauti na wale wamama wenye domo chafu mtaani.
Sugu ni muhuni aliyekuwa anafanya vitu vya kihuni bungeni kwa kuonyesha vidole vinavyoashiria matusi. Muhuni ni muhuni tu hata akivaa suti anabakia kuwa muhuni tu.
 
Wewe pimbi unatumia makalio kufikiri. Hakuna mtu anamtaka huyo kigagula zaidi ya wapambe wake.


View: https://youtu.be/n5QM3aIWIRU?si=csbtmFnirbLLzl0d
 
Kwani Kuna tatizo gani mkuu hilo swala liko ndani ya chama mimi sioni shida akizungumza hivyo.
Nipe kifungu cha katiba ta CCM kinachosema hivyo. Au weka ushahidi ni lini wana CCM Mbeya Mjini walikubaliana hivyo.

Hapa naona siasa za ukabila tu zikitamalaki. Mwenyekiti wa sasa wa CCM Mbeya na Mbunge wa Mbeya Mjini ni kabila moja.
 
Mbuga ipo porini,ukiona Mtu anatumia fedha zake kufanya maendeleo hafai. Ni vile hufikir kuwa anazipata wap hizo fedha
 
Hawa Mwenyekiti wa Mkoa na Mbunge wa CCM watatuharibia Mbeya yetu. Ni virusi tu kwenye siasa za mkoa.

Upinzani lazima uchukue jimbo la Mbeya
 
Hapa utapambana sana na wakina ChoiceVariable na Lucas Mwashambwa
 
"Kwa pesa zake mwenyewe". Unawazimu wewe!
 
"Kwa pesa zake mwenyewe". Unawazimu wewe!
Ndio ni za kwako kwa moyo wake wa kujitolea na kusaidiwa na wadau wa maendeleo ambao wanakoshwa na uchapa kazi wake. Tofauti na yule muhuni ambaye alishindwa kuongoza jimbo mpaka alipofurushwa na wana Mbeya.
 
Wewe chizi, huyo ni dada yako wewe!
 
Tujenge hoja tuseme tutawafanyia nini wananchi tunadi sera zetu bila kubeza viongozii watangulizi, hata wao pia walikua na mchango wao katika kuleta maendelo kwa namna moja au nyingine,
 
Kwani wewe unataka umtoe Spika Wetu mama connection? Huyo ndio Mbunge Hadi 2030.
 
Kwa uhalisia hapo ni kwamba hao wanaongea mambo yao ya ndani ya CCM na wala hawajasema chadema msiweke mgombea wenu.
Bali wanangea mambo ya siasa zao vhafu ndani ya chama chao.
 
Mwambieni yule muhuni mwenzenu kuwa asahau kuja kupata tena ubunge Mbeya mjini. Kwa sasa mwenye hati miliki ya jimbo la Mbeya mjini ni dada wa Taifa dkt Tulia Acksoni Mwansasu
Hakuna mtu mwenye hati miliki ya ubunge wowote hapa TANZANIA wewe mpumbavu wa Mbozi. Mbona unadhalilisha Wanyiha wote kwa mabandiko yako??
 
Kwa nini wakili hataki utaratibu wa fomu moja tu ya kugombea ushuke hadi chini kwa wabunge na madiwani?
Msikilize vizuri tena. Wakili anaonya wanaotaka fomu moja kwa Tulia. Anapinga utaratibu huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…