Umejizima data kama kawaida yako kwenye mambo serious.Kwani wewe unataka umtoe Spika Wetu mama connection? Huyo ndio Mbunge Hadi 2030.
Huyo hapo Tulia na majeneza:Leta kapicha akiwa kwenye mapembe. Afukuzwe kwakanisa kama nimshirikina
Umtake au usimtake ndio Mbunge huyo.Umejizima data kama kawaida yako kwenye mambo serious.
Niko Mbeya, huyo hata CCM wenyewe hawamtaki. Wanaompigia debe ni machawa wake tu
Unaambiwa huko chama hakijawahi kupata mtu mwenye uwezo wa kuwa Mwenyekiti zaidi ya huyu.Fomu Moja kana Mwenyekiti wa Chadema 🐼😂
Kama huo utaratibu unafaa kwa rais kwa nini haufai kwa wabunge na madiwani?Msikilize vizuri tena. Wakili anaonya wanaotaka fomu moja kwa Tulia. Anapinga utaratibu huo
Endelea kuweweseka .lakini kwa jimbo la Mbeya mjini hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kumtikisa wala kumpa shida Dada wa Taifa dkt Tulia Acksoni Mwansasu katika sanduku la kura. Atazoa na kukomba kura zote za ndio za wanambeya mapema kabisa.Hata wakibisha vipi huyu kigagula wao atakuwa mgombea pekee wa CCM aliyepita kwa jimbo la Mbeya lakini kwenye Uchaguzi Mkuu hawezi kupita. Mbeya HAKUNA WAJINGA labda Lucas Mwashambwa peke yake. Japo Lucas siyo mwenyeji wa Mbeya bali ni wa Mbozi
Dkt Tulia na dada wa Taifa kapewa hati miliki ya jimbo la Mbeya mjini ya kuendelea kuongoza kama mbunge baada ya kukata kiu ya wanambeya. Mbeya ni dkt Tulia na dkt Tulia ndio Mbeya yenyewe.Hakuna mtu mwenye hati miliki ya ubunge wowote hapa TANZANIA wewe mpumbavu wa Mbozi. Mbona unadhalilisha Wanyiha wote kwa mabandiko yako??
Nenda kasome Katiba kwanza ndiyo urudi hapaKama huo utaratibu unafaa kwa rais kwa nini haufai kwa wabunge na madiwani?
Tutarudi hapa mwaka 2025 November, naomba usibadili ID kama unavyofanya. Mara unajiita @SunkcostfallacyUmtake au usimtake ndio Mbunge huyo.
Majungu Kwa Watu wa Mkoa wa Mbeya ni kawaida au wewe ni mgeni na Mbeya?
Kidudu mtu anataka tena ubunge?bila polisi hashindi
Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini.
Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu mmoja akihutubia mkutano wa CCM Mbeya huku Spika wa Bunge Tulia Ackson ambaye ndiye Mbunge wa sasa wa Mbeya Mjini. Mtu huyo ameongea yaleyale yaliyotamkwa na Mwenyekiti wa CCM Mbeya.
Ni wazi hizi ni siasa chafu ambazo ziko kinyume na Katiba ya JMT na hazina tija kwa wananchi wa Mbeya.
Kama ni kweli Tulia Ackson ameifanyia Mbeya mambo makubwa kwa nini anaogopa ushindani?
Tulia aliwekwa Mbeya Mjini ma Magufuli. This time around itabidi akamfufue kwanza Magufuli ndiyo awe mbunge wa Mbeya MjiniKidudu mtu anataka tena ubunge?bila polisi hashindi
Kwa hiyo na wewe ni mmoja wao?Unajuwaje kuwa mimi siyo wa Mbeya?