Tulia Ackson: Nilishaumwa CORONA Mara mbili, watu wasidhani Mimi siijui

Corona ipi wakati Tz hakuna Corona??

Anyway ngoja ipite naye ndo atakuja hapa kusifu kama Dr Mpango
 
Lakini swali kubwa la msingi, lini huyu kiongozi aliugua Covid 19? Kama aliugua huko nyuma bona hakutaarifu umma? Mbona hatukupewa taarifa kama kuna maabukizi mapya? Je, hata mwaka 2020 wakati baadhi ya wabunge wanafariki, walifariki kwa Covid-19?
Hivi kipindi kile Mh. Waziri Ummy Mwalimu alipokuwa anatoa takwimu za wagonjwa wa Covid-19, alikuwa anatangaza pia majina? Je, wale waliokuwa wanaugua, walikuwa pia wanalazimika kujitangaza au ilikuwa ni hiari?
 
Hata kama alikuwa hatangazi majina, ndio msubiri mtu afariki alafu mje kutangaza kuwa ulipata Covid x2?
 
Kweli aliumwa korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…