mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,181
Kuvaa barakoa sio suluhisho Kwa kuwa wewe una watoto wanaenda shule na ndio makelia wakuu, mke anaenda masaluni kuosha nywele Na miguu wale vijana wa Mwenge awampumulii hewa? Bado sokoni kariakoo unachagua chagua nyanya kuangalia kubwa Na ndogo mhhh kilichopo tunawe maji tririka Na sanitizers, kingine tumwe TibaLishe zilizothibitishwa koona aina Dawa. Tutumie Dawa HOPECA inafrusha kidudu hiki