Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Hapo sawaAagh acha nisiwataje! Wote tunawafahamu Kaka! Waliotuibia kura, wakatufunga, wakatupa na kesi kede kede, huenda bado hawajaridhika
Hapo sawaAagh acha nisiwataje! Wote tunawafahamu Kaka! Waliotuibia kura, wakatufunga, wakatupa na kesi kede kede, huenda bado hawajaridhika
Kaka ni wewe! Au wamedukua account?Halafu shetani akimpitia ndugu zake watadai kazi ya Mungu haina makosa!
Karibu KakaHapo sawa
😀 😀 😀 😀 I seeMie nakushangaa wewe mleta mada unayeushangaa unafki ndani ya CCM!
Kwaiyo kosa lake ni kusema amewahi kuugua covid19 Mara mbili halafu hakujitangaza?Nimepigwa na butwaa baada ya kuona clip ikisambaa kwenye mitandao ikimuonesha Naibu Spika Tulia Ackson akidai kuwa alishawahi kuugua Covid 19 mara mbili...
Unauliza nini?Kwaiyo kosa lake ni kusema amewahi kuugua covid19 Mara mbili halafu hakujitangaza?
Kwa hiyo naibu speaker anafanya utani? Maana mpaka sasa nimepigwa na butwaa.Nawaombea kwa Mungu tusifanye utani na huu ugonjwa.
Nakuambia nimepigwa na butwaa.Kwani lini Unafiki haujawahi kuwepo CCM?
Tuendelee kupambana na Corona,tuelemishane na tufundishane wenyewe kwa wenyewe namna ya kuepekupa huu ugonjwa, hizi habari za Nani kasema nini akiwa wapi ni uzembe, Mungu katupa utashi tuutumie.Unauliza nini
Weka hiyo clip hapa nasi tumsikie tafadhaliNimepigwa na butwaa baada ya kuona clip ikisambaa kwenye mitandao ikimuonesha Naibu Spika Tulia Ackson akidai kuwa alishawahi kuugua Covid 19 mara mbili...
Funguka kidogo mkuuHuyo kwa vyo vyote vile akiugua corona itapita naye!
Alimuingiza Zitto kingi mbaya sanaMbona maalim (RIP) hakuwa mnafiki pamoja kuwa alikuwa mwana CCM?
Ingia You tube utaipata.Weka hiyo clip hapa nasi tumsikie tafadhali
Wachafuzi....Hao wote si ni wezi wa kura, utawaaminije? Simple1
Kumbuka kuwa shetani naye ni mungu wa dunia hii. Maana wangemtaja Mungu wa kweli wasingeiba kura kwa sababu Mungu tunayemfahamu ni mwenye haki lakini mungu wa dunia hii (shetani) hajui kutenda haki. Ndiyo maana wizi wa kura kwao ilikuwa jambo la kawaida bila kuwa na hofu na nilisikitika sana hata wale wanaojiita ni watumishi walikengeuka.Sikilizeni watu wa maana na nyie. Unapoteza muda kusikiliza takataka, kibaya, mwili na mpaka roho na tabia. Halafu kinafiki na ViCLIP vyake vya kumtaja Mungu.
Hawa watu sijui wana mungu wao yupi?
Wanasema sifa huua. Mwenye hekima hujitahidi kutenda mema. Sifa hufuata yenyewe. Halazimishi kusifiwa, na wengi hawapendi hawapendi kusifiwa maana wanajua kuwa mengi mazuri yanayofanyika ni jitihada ya pamoja ya watu wengi.Bwana wao akisema Covid ipo na wao wanasema Covid ipo na kuwa wote walishaumwa na wakapona. Kesho akikanusha hakuna Covid na wao kwa umoja wao watakana kuwa hakuna...
Halafu shetani akimpitia ndugu zake watadai kazi ya Mungu haina makosa!