KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
Sio sifa? Ndio nyie mnaisemaga "Leo lazma tupate matokeo" kwani kufungia sio matokeo!?
Akili zake ni kama za Jiji la ILALA....w mgonjwa?Nimepigwa na butwaa baada ya kuona clip ikisambaa kwenye mitandao ikimuonesha Naibu Spika Tulia Ackson akidai kuwa alishawahi kuugua Covid 19 mara mbili.
Unafiki ni moja ya sifa ya kuwa mwanaccmMie nakushangaa wewe mleta mada unayeushangaa unafiki ndani ya CCM!
Ulifanya vipimo ukajuwa kuwa unayo Corona?Kwani mkuu mbona hata wewe uliugua au unadhani kila auguae corona mpaka apumulie gas? ndio mgonjwa,binafsi season 1 ilinipiga ila hii ya sasa bado haijanipata na sijafunga tarumbeta la kuugua.
Unataka kila mtu akifa au akiugua tutangaze? Duh! Hawa mabeberu na vibaraka wao mtatumaliza. Vibaraka sasa wanasubiri lockdpown, ndiyo njia pekee itakayowafurahisha mabeberu.Nimepigwa na butwaa baada ya kuona clip ikisambaa kwenye mitandao ikimuonesha Naibu Spika Tulia Ackson akidai kuwa alishawahi kuugua Covid 19 mara mbili...
Daaa!!! sijui mungu alikuwa wapi aisee.Nimepigwa na butwaa baada ya kuona clip ikisambaa kwenye mitandao ikimuonesha Naibu Spika Tulia Ackson akidai kuwa alishawahi kuugua Covid 19 mara mbili...
Mbowe aliwahi kukiri mwanae kumwa korona, ulipigwa na butwaa?Mimi mwenyewe nimepigwa na butwaa.
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo.Mbowe aliwahi kukiri mwanae kumwa korona, ulipigwa na butwaa?
Tulia kaumwa umepigwa na butwaa, mtoto wa Mbowe kuumwa hutaki kujibu. Nyumbu hamjielewi.Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo.
Kwa nini mwakajana hakusema aliumwa? Tumia akili we bwege.Tulia kaumwa umepigwa na butwaa, mtoto wa Mbowe kuumwa hutaki kujibu. Nyumbu hamjielewi.
Hii bongo kuwa makini watakuwekea ile ya manjis, au oryx ya kuchemshia supu🤣Wakuu nikitaka mtungi wa oxygen kama ule wa dr Mpango naupata wap na bei gani?