John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Akielezea timu ya Bunge, Mapema leo katika mkutano wa 11 kikao cha 39 cha Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge, Dr.Tulia Ackson ameisifia timu ya Bunge kwa kiwango chake bora cha mpira.
Pia Spika ameongeza kwa kuilinganisha ubora huo na Klabuya Young Africans ambayo ndiyo inayowakilisha Tanzania na ukanda wa Afrika mashariki, kati na kusini katika michuano hiyo kwa sasa.
Akifafanua zaidi, Mhe. Dr.Tulia Ackson amesema huo ndiyo ukweli na hajatamka kwa bahati mbaya.
Video itawekwa soon.