Ni wajinga sana, wako kama Tulia ambaye anajua wazi alibebwa na dola lakini leo anakana kwamba hakubebwa na dola...wenye dola wamemsikiaChadema ni wajinga sana
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani, kesi za malalamiko ya uchaguzi ni ndani ya miezi sita tu baada ya uchaguzi. Tuache hayo, kwa sasa kuna kesi ya Covid 19, ni kipi kinafanya hiyo kesi ichukue muda mrefu hivyo kama ushahidi wote upo? Kwa mpinzani kwenda kwenye mahakama hizi ni kupoteza muda.Kwanini hawakuenda mahakamani baada ya Magufuli kufariki
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Tulia ni mjinga sana na nyie sukuma Gang ni mataahira kabisaChadema ni wajinga sana